Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

ninyi ndo mlikuwa mapunga wa magufuli, muwasho ushawaanza. Tafuta bwana mwingine. Bwana ako alishakufa.
Unafurahi unafikiri utaanza upya kuuza mihadarati? Nyie ndio jk alisema mjaribu ujinga 😂😂😂😂😂
 
Ghana ingeendelea kutawaliwa na Nkurumah ingekuwa nchi ya hovyo mpaka leo. Ghana imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo na demokrasia tangu kuondolewa kwa huyu dikteta uchwara aliyekuwa analazimisha ujamaa uchwara.
Nchi zenye mwelekeo wa kijamaa zinamtukuza mtu kuliko Mungu. Tena zinatawaliwa kibabe na udikteta ni sifa yao kuu.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Chadema imekufa jomba hata viongozi wa chadema wanajua hilo
 
Kura siyo kipimo cha ubinadamu. Isitoshe Magufuli alikuwa hakubaliki hata kwa 30% mwaka jana. Laiti angekuwa anakubalika asingeiba uchaguzi wote wa 2020
Kama unayo sema ni kweli basi wagombea wa ubunge wa ccm na upinzani wakigombea watangaze kuwa wao wanamp8nga magufuli tuone kama watakubalika
 
Amka usingizini ndugu.Machinga wenyewe wameshaelewa.Hahaa
Ujanielewa wanampinga magufuli huku wanajidai ni kitu kimoja kwanini wasiseme wazi wazi kuwa wao wapo kinyume cha magufuli wanaogopa nini
 
Hayati alikukosea nini mwandishi tumwache apumzike kwa amani nyakati za teuzi za kusifiia zimekwisha.
 
Magufuli ni SHETANI aliyekuwa kwenye mwili wa Binadamu. Mungu amefurusha kwa vile alikuwa anaharibu nchi yetu kwa kasi ya 5G
Kwahiyo sasa hivi nchi yenu iko vizuri?
 
Wa sasa anafuata katiba?
 
Upande wa umeme nako alifanikiwa sn, mengi yote yalikuwa ni ya hovyo sn
Mwishoni utamkubali tu!

Muda ni mwalimu mzuri sana.

Muulize katibu mkuu wako bwana mnyika aliwahi kumuita jk ni rais dhaifu tena bungeni ila baadae alipiga magoti kutubu
 
Lione hili nalo lilivyotaahira!

Wapi Magufuli aliwahi kuhutubia kwa kisukuma?

Hivi nyie wachaga kwanini mkibanwa mnahisi mnaonewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…