Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

Kwa nini Sukuma GANG mnalazimisha nchi ipasuke hii. Magufuli aliwadanganya kama mnajiona mna umuhimu sana kwenye hili Taifa, nyinyi ni majambazi tu mliokuwa mnatumwa na Magufuli kufanya unyang’anyi , kutesa na Kuua watanzania. Tabia za Kirundi au nyie ni Warundi mliojificha kwenye Usukuma ili kuuwa watanzania.
Andiko Kama hili ndilo linaloleta chuki na mpasuko wa nchi ...ni Nani hao walitumiwa na Magufuli kutesa wengine...eti wasukuma? Dah...Mimi siyo Msukuma ila nawafahamu wasukuma wengi na sijawahi kumuona yeyote mwenye hulka za ubaguzi, upendeleo na mauaji...ila nalifahamu kabila moja la mkoa mmoja wa kaskazini mwetu lilihodhi karibu Kila kitu kwa kujazana kwa upendeleo wa kutisha huko TRA, Bandari, Hazina, halmashauri...wengine walikuwa wanajiandisha majina ya kikristo au kiislamu badala ya Yale ya ukoo ili wasitambulike...tenda mbambali za serikali walipeana wao kwa wao..dah..hao ndio walikuwa gang haswa
QUOTE="Wacha1, post: 40551818, member: 20496"]
Vipi Chaga gangsters?
[/QUOTE]
😀😀
Vipi Chaga gangsters?
Duh...eti Chaga gangsters...😀😀
 
Shetani mama yako mzazi aliyekuzaa
Wewe Crimea kwani hukuzaliwa na mama? Au unadhani Baba yako alikutolea matakoni kwake
Ameharibu nini zaidi ya kuwatia adabu fisadi wezi wa mali ya umma na wakwepa kodi. Unachoona wewe ni jamaa zako kusweka lupango na kutemeshwa vya dhuluma. Huoni miradi ya ujenzi afya elimu etc itakayokua na faida kubwa kwa umma. Unaona tu singa na ruge kusweka ndani kwa uhuni ule wa iptl. Huoni matendo ya magaidi wa rufiji ila unaona kuangamizwa kwao tu.
Kuna fisadi kumzidi Magufuli? Aliyekwiba Tsh 2.4 Trillion kwa miaka 2016-18?

Akaishia kumfukuza kazi CAG Prof Assad baada ya kuhoji
 
Leo nashuhudia maneno ya Kigunge RIP, Jamaa huyu hakifaa kabisa kuwa Rais wa Tanzania. Mchuano wa Lowassa na Membe ukarusababishia haya matatizo tunayoyaona ya kina Sabaya and the like.

Mbaya sana hii..Mbaya saana.
 
Wasukuma kubalini tu, Magufuli ameshaumaliza mwendo na maisha lazima yasonge mbele....

Kwanini mnajitesa hivi?
Hii mkuu si sawa, unawakosea watu na halafu huu ni ukabila, kuna wasukuma wengi mno hawamkubali Magufuli. Usigeneralise mambo kwa mtindo huo.
 
Leo nashuhudia maneno ya Kigunge RIP, Jamaa huyu hakifaa kabisa kuwa Rais wa Tanzania. Mchuano wa Lowassa na Membe ukarusababishia haya matatizo tunayoyaona ya kina Sabaya and the like.

Mbaya sana hii..Mbaya saana.
Hii ishu ya Sabaya imewazidishia wakati mgumu watetezi wa Magufuli, maana alikuwa anasema kuwa alitumwa na Magufuli kufanya hicho ambacho mahakama imethibitisha kuwa ni ujambazi.
 
Kijana alinyanyasa sana idara ya Police, kijana alimdindia hadi IGP achilia mbali ma RPC na wakuu wa mikoa.
 
Yaani wewe na huyo nduguyo mmeishiwa hoja mmeanza tu kuambizana ushetani eti?
Hana akili na inawezekana hana malezi mazuri toka kwa wazazi wake.

Hvi unawezaje kumwita Mtu aliekuwa rais wa nchi kwamba ni shetani?

Mods nao wameacha tu majinga kama haya yanahara tu humu
 
Mjinga tu kwani hapa tunafundishana kuweka paragraph na vituo? Naona hoja ndio inakufanya kuhamaki. Tulia jibu hoja sio kuonesha ujinga.
Tunafundishana vyote mkuu, hatuwezi kumuona mtanzania mwenzetu hajui kuandika vema lugha yetu adhimu kwenye jukwaa kubwa kama hili halafu tukamuacha, jirani zetu Wakenya si watatucheka? Yaani ni kama umkute mshikaji wako kachomekea koti kwenye harusi utamuacha hivi hivi mkuu bila kumuweka sawa?
 
Mabeberu ndio hawa wanaotupa chanjo, mikopo ya Chanjo, Stigler na SGR?

Mabeberu ndio hawa waliotoa mikopo kujenga madarasa na vituo vya afya?
Masukuma na genge lao wote washamba tu. Wanadhani magufuli kazimia tu wanamsubiri azinduke waendelee na ushamba wao. Mungu amewawahi kuiepusha hii nchi na laana.
 
Hujatoa hoja yoyote ya maana kuhusu kile nilichoandika. Sijui wewe ni mwalimu maana umeanza kusahihisha uandishi badala ya kuangalia ujumbe.

Hujui hata elimu yangu unanidharau..ila naona umekasirishwa na kile nilichoandika hadi unapoteza ufahamu. Huku kwenye mitandao hatufanyi mtihani wa uandishi. Lengo kuu ni kufikisha ujumbe.
Mkuu hakuna kitu umeandika, yaani umemwaga upupu ndiyo maana wengi wamekupotezea. Usiwasikilize wanasiasa na misemo yao ya sijui beberu, kondoo, mbuzi jike n.k... Juzi tumepewa 1.3 Trilioni, dozi za bure za covid zaidi ya milioni, na zingine milioni tatu na ushee zinakuja halafu eti unawaita beberu? Tukirudi kwenye hoja zako kwa mfano Nyerere juzi tarehe 14 ameenziwaje? Au ndo walivyoelekeza mabeberu? Azimio lake la Arusha mlivyoenda kulizika kimyakimya Zanzibar, tena akiwa hai, mlishauriwa na mabeberu?
 
Andiko Kama hili ndilo linaloleta chuki na mpasuko wa nchi ...ni Nani hao walitumiwa na Magufuli kutesa wengine...eti wasukuma? Dah...Mimi siyo Msukuma ila nawafahamu wasukuma wengi na sijawahi kumuona yeyote mwenye hulka za ubaguzi, upendeleo na mauaji...ila nalifahamu kabila moja la mkoa mmoja wa kaskazini mwetu lilihodhi karibu Kila kitu kwa kujazana kwa upendeleo wa kutisha huko TRA, Bandari, Hazina, halmashauri...wengine walikuwa wanajiandisha majina ya kikristo au kiislamu badala ya Yale ya ukoo ili wasitambulike...tenda mbambali za serikali walipeana wao kwa wao..dah..hao ndio walikuwa gang haswa
QUOTE="Wacha1, post: 40551818, member: 20496"]
Vipi Chaga gangsters?
😀😀
Umepanic, Ukweli mchungu, umeumia sana sana lakini ukweli lazima usemwe, Sukuma GANG mnastahili kuzikwa mkiwa hai.
 
Wanakupa wakati wanasomba vyetu mara100 ya wanavyo tupa na kuhusu chanjo magonjwa wanayaleta wao ili kuuza madawa na vifaa vya hospitalini
Yaani wewe bure kabisa. Kama unajua wanasomba vyenu na kuwanaleta magonjwa kupitia chanjo mnakubali kwanini. Nendeni kwenye kaburi la bwana wenu mshitaki.
 
Aliyetuachia mchumba wake tumlindie akitoka tumkabidhi.
I see ni kweli, dogo nasikia alisumbua sana, alipokuwa St John pale Dom alimtapeli ndugu yangu hela yake ya ada, inaonekana wizi upo kwenye damu.
 
😀😀
Umepanic, Ukweli mchungu, umeumia sana sana lakini ukweli lazima usemwe, Sukuma GANG mnastahili kuzikwa mkiwa hai.
Ukisema sukuma gang, naweza nikakuelewa, kwamba ni kakikundi fulani tu ka wasukuma, ila watu wanaojumuisha wasukuma wote wananikwaza sana, wanafanya kosa kubwa sana.
 
Back
Top Bottom