Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

Kama Magufuli alimshinda Lisu kwa kura aizoshuritisha atangazwe nazo, ingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kama matokeo ya uchaguzi ule bado yapo. Toka wakati wa kampeni hadi kufikia mauti yake, Magufuli hakuwahi kupata furaha tena, maana aliona ukweli uliomuumiza. Idadi ya watu aliopata Lisu na matarajio yake yalikuwa tofauti, ndio maana akaagiza ccm watangazwe kwa shuruti. Huu ni ukweli unaomuumiza kila mwanaccm. Hivi leo ccm imegeuka kuwa chama kinachotegemea nguvu za dola tu maana kimeshapoteza ushawishi kwa umma, ndio maana haiko kuruhusu Cdm tayari ifanye mikutano ya kukutana na wananchi, kwani wanajua Cdm ndio inavyokubalika na wananchi.
Dah!
Nimesoma twice
 
Hana akili na inawezekana hana malezi mazuri toka kwa wazazi wake.

Hvi unawezaje kumwita Mtu aliekuwa rais wa nchi kwamba ni shetani?

Mods nao wameacha tu majinga kama haya yanahara tu humu
Hapa mimi sina uhakika kama kumwita raisi wa nchi shetani ni sawa ama si sawa, ila kwanza nataka niulize swali, mtu akimuita raisi kama Idd Amin kwamba ni shetani, ni sawa ama si sawa?
 
I see ni kweli, dogo nasikia alisumbua sana, alipokuwa St John pale Dom alimtapeli ndugu yangu hela yake ya ada, inaonekana wizi upo kwenye damu.
Hiyo cha mtoto, kuna jamaa wa halmashauri ya hai alikuwa na mchumba wake anasoma SAUTI pic kali balaa, akaja Hai jamaa akamtoa out kijiwe cha mabosi bosi...Sabaya akafika pale saa sita usiku akavamia akachukua machungu wote akamchanganya na mchumba wa jamaa... jamaa akalia balaa na yeye naye na wengine kwa defender nyingine... ile cluser ya machangu na pic kali ya jamaa ikasepa... jamaa akabakia lwa defender la Police anahaha..

Pic kali ikaliwa hadi saa 12 alfaili ikashushwa kituo cha police hai toka arusha....

Ni mengi saana..dogo alikiwa mafia.
 
I see, ni maumivu makubwa sana kwa huyo jamaa, hata kufungwa miaka 30 anaona haitoshi..
 
Wasukuma kubalini tu, Magufuli ameshaumaliza mwendo na maisha lazima yasonge mbele....

Kwanini mnajitesa hivi?
watz sio mbulura,uje na porojo zako kumchafua jpm aise watakuona chiz ulieshindikana,na ndio maana juz SSH akaamua kumjibu Yule askofu kilaza ,akaenda chato kuweka mashada kwa mzalendo na 2,baada ya nyerere jpm.nadhani mama alifanya vyema kumjibu Yule askofu tumbo njaa.
 
Hujatoa hoja yoyote ya maana kuhusu kile nilichoandika. Sijui wewe ni mwalimu maana umeanza kusahihisha uandishi badala ya kuangalia ujumbe.

Hujui hata elimu yangu unanidharau..ila naona umekasirishwa na kile nilichoandika hadi unapoteza ufahamu. Huku kwenye mitandao hatufanyi mtihani wa uandishi. Lengo kuu ni kufikisha ujumbe.
Uandishi wako unaonyesha jinsi ulivyo zwazwa
 
Lazima wachawi na wenye roho mbaya wasiopenda kuona furaha wampende na wamkumbuke
nadhani wewe ni mchawi na one!!kwa kuwa unafikiria kwa kutumia magoda yako,nchi hii aliyeifungua ni jpm,ilikuwa ndani ya giza nene.walizoea kutuaminisha tz ni maskini huku wao wakichota Mali na kuwauzia wazungu,shatopu kabisaa!
 
Tuliza matter core wewe, nchi yetu yeye ndio aliwafanya mjione wanyonge
 
Ulizia pia yaliyompata mchumba wake wa kwanza aliyekuwa msabato dada wa watu...kabla ya huyu tuliyepata no yake.
Mkuu umenichekesha eti 'msabato dada wa watu...' Alimfanyaje mkuu, alinanii kwa mpalange au?
 
Tuliza matter core wewe, nchi yetu yeye ndio aliwafanya mjione wanyonge
tangu nchi hii imeanza kuitwa Tanganyika na baadae Tanzania, imewahi kupata viongozi wawili tu waliokuwa na maono ya Tanzania yenye maisha mzuri n mwal.&jpm.
 
Chaga gangsters wameshindwa kumwondoa Mbowe oops Mlevi wa Konyagi, madarakani tangu Chaga Dema ianze (almost 30 years) wamebaki kulialia na katiba tu. Phew!
 
Maranyingi akiwa Kanda ya ziwe amehutubia kisukuma usiwaseme wachaga hawana neno ila sisi tulimuona na kushuhudia
Ukabila ule ufe na usijirudie tena
Si mlizoea ujanjaujanja na upigaji nyie chagadema. Basi mkajua ukiwa kiongozi ni ulaji na ukabila.. ndio mkazua neno sukumagang kama vile hamjui wasukuma na jamaa zao wanyamwezi ni takriban theluthi moja ya raia wa tanzania.
 
Back
Top Bottom