Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,330
- 7,494
Jamaa yupo sahii,, akili yako haina akili.Shetani mkubwa wewe
Magufuli ni jizi la trillion 2,4 kwa nini unalitetea?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa yupo sahii,, akili yako haina akili.Shetani mkubwa wewe
Dah!Kama Magufuli alimshinda Lisu kwa kura aizoshuritisha atangazwe nazo, ingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kama matokeo ya uchaguzi ule bado yapo. Toka wakati wa kampeni hadi kufikia mauti yake, Magufuli hakuwahi kupata furaha tena, maana aliona ukweli uliomuumiza. Idadi ya watu aliopata Lisu na matarajio yake yalikuwa tofauti, ndio maana akaagiza ccm watangazwe kwa shuruti. Huu ni ukweli unaomuumiza kila mwanaccm. Hivi leo ccm imegeuka kuwa chama kinachotegemea nguvu za dola tu maana kimeshapoteza ushawishi kwa umma, ndio maana haiko kuruhusu Cdm tayari ifanye mikutano ya kukutana na wananchi, kwani wanajua Cdm ndio inavyokubalika na wananchi.
Hapa mimi sina uhakika kama kumwita raisi wa nchi shetani ni sawa ama si sawa, ila kwanza nataka niulize swali, mtu akimuita raisi kama Idd Amin kwamba ni shetani, ni sawa ama si sawa?Hana akili na inawezekana hana malezi mazuri toka kwa wazazi wake.
Hvi unawezaje kumwita Mtu aliekuwa rais wa nchi kwamba ni shetani?
Mods nao wameacha tu majinga kama haya yanahara tu humu
Hiyo cha mtoto, kuna jamaa wa halmashauri ya hai alikuwa na mchumba wake anasoma SAUTI pic kali balaa, akaja Hai jamaa akamtoa out kijiwe cha mabosi bosi...Sabaya akafika pale saa sita usiku akavamia akachukua machungu wote akamchanganya na mchumba wa jamaa... jamaa akalia balaa na yeye naye na wengine kwa defender nyingine... ile cluser ya machangu na pic kali ya jamaa ikasepa... jamaa akabakia lwa defender la Police anahaha..I see ni kweli, dogo nasikia alisumbua sana, alipokuwa St John pale Dom alimtapeli ndugu yangu hela yake ya ada, inaonekana wizi upo kwenye damu.
Acha hasira JPM hatafutika akilini mwetu.... R.I.P JPM 🙏Jamaa yupo sahii,, akili yako haina akili.
Magufuli ni jizi la trillion 2,4 kwa nini unalitetea?!
I see, ni maumivu makubwa sana kwa huyo jamaa, hata kufungwa miaka 30 anaona haitoshi..Hiyo cha mtoto, kuna jamaa wa halmashauri ya hai alikuwa na mchumba wake anasoma SAUTI pic kali balaa, akaja Hai jamaa akamtoa out kijiwe cha mabosi bosi...Sabaya akafika pale saa sita usiku akavamia akachukua machungu wote akamchanganya na mchumba wa jamaa... jamaa akalia balaa na yeye naye na wengine kwa defender nyingine... ile cluser ya machangu na pic kali ya jamaa ikasepa... jamaa akabakia lwa defender la Police anahaha..
Pic kali ikaliwa hadi saa 12 alfaili ikashushwa kituo cha police hai toka arusha....
Ni mengi saana..dogo alikiwa mafia.
Endelea kuotaHapana haja kushindina juu ya yaliofanywa na jemedari JPM.
Dhihaka na dharau zao zitakoma 2025
Akilini kwenu MATAGAAcha hasira JPM hatafutika akilini mwetu.... R.I.P JPM 🙏
Nishapata number ya mchumba wake .. nafikiri si mimi tu tupo wengi.I see, ni maumivu makubwa sana kwa huyo jamaa, hata kufungwa miaka 30 anaona haitoshi..
watz sio mbulura,uje na porojo zako kumchafua jpm aise watakuona chiz ulieshindikana,na ndio maana juz SSH akaamua kumjibu Yule askofu kilaza ,akaenda chato kuweka mashada kwa mzalendo na 2,baada ya nyerere jpm.nadhani mama alifanya vyema kumjibu Yule askofu tumbo njaa.Wasukuma kubalini tu, Magufuli ameshaumaliza mwendo na maisha lazima yasonge mbele....
Kwanini mnajitesa hivi?
Uandishi wako unaonyesha jinsi ulivyo zwazwaHujatoa hoja yoyote ya maana kuhusu kile nilichoandika. Sijui wewe ni mwalimu maana umeanza kusahihisha uandishi badala ya kuangalia ujumbe.
Hujui hata elimu yangu unanidharau..ila naona umekasirishwa na kile nilichoandika hadi unapoteza ufahamu. Huku kwenye mitandao hatufanyi mtihani wa uandishi. Lengo kuu ni kufikisha ujumbe.
Ulizia pia yaliyompata mchumba wake wa kwanza aliyekuwa msabato dada wa watu...kabla ya huyu tuliyepata no yake.I see, ni maumivu makubwa sana kwa huyo jamaa, hata kufungwa miaka 30 anaona haitoshi..
nadhani wewe ni mchawi na one!!kwa kuwa unafikiria kwa kutumia magoda yako,nchi hii aliyeifungua ni jpm,ilikuwa ndani ya giza nene.walizoea kutuaminisha tz ni maskini huku wao wakichota Mali na kuwauzia wazungu,shatopu kabisaa!Lazima wachawi na wenye roho mbaya wasiopenda kuona furaha wampende na wamkumbuke
Tuliza matter core wewe, nchi yetu yeye ndio aliwafanya mjione wanyongenadhani wewe ni mchawi na one!!kwa kuwa unafikiria kwa kutumia magoda yako,nchi hii aliyeifungua ni jpm,ilikuwa ndani ya giza nene.walizoea kutuaminisha tz ni maskini huku wao wakichota Mali na kuwauzia wazungu,shatopu kabisaa!
Mkuu umenichekesha eti 'msabato dada wa watu...' Alimfanyaje mkuu, alinanii kwa mpalange au?Ulizia pia yaliyompata mchumba wake wa kwanza aliyekuwa msabato dada wa watu...kabla ya huyu tuliyepata no yake.
So bora ingekuwa hivyo....no more !!Mkuu umenichekesha eti 'msabato dada wa watu...' Alimfanyaje mkuu, alinanii kwa mpalange au?
tangu nchi hii imeanza kuitwa Tanganyika na baadae Tanzania, imewahi kupata viongozi wawili tu waliokuwa na maono ya Tanzania yenye maisha mzuri n mwal.&jpm.Tuliza matter core wewe, nchi yetu yeye ndio aliwafanya mjione wanyonge
No more, yaani alimuua au?So bora ingekuwa hivyo....no more !!
Si mlizoea ujanjaujanja na upigaji nyie chagadema. Basi mkajua ukiwa kiongozi ni ulaji na ukabila.. ndio mkazua neno sukumagang kama vile hamjui wasukuma na jamaa zao wanyamwezi ni takriban theluthi moja ya raia wa tanzania.Maranyingi akiwa Kanda ya ziwe amehutubia kisukuma usiwaseme wachaga hawana neno ila sisi tulimuona na kushuhudia
Ukabila ule ufe na usijirudie tena