Mpasuko Chadema wiki mbili kabla ya Uchaguzi

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Yapo madai kwamba mikutano mwingine ya Chadema inaruhusiwa na Polisi lakini baadaye Polisi wanaizuia kutokana na shinikizo kutoka ndani ya Chadema.
Sasa tunakwenda kwenye huu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: matumaini yangu ni kwamba itakuwa Uchaguzi wa amani.
Huu ni Uchaguzi ambao utaonyesha hali ya siasa ilivyo na tutegemee nini mwaka kesho
Kwa hiyo Uchaguzi huu ni muhimu sana,na ni muhimu uwe na amani,ni muhimu uwe wa haki.
Na watu wengine hawako chama chochote:ni muhimu wafanye maamuzi sahihi ya kuchagia viongozi.
Tatizo la hizi chaguzi ni kwamba CCM ndio ina kawaida kushinda.
Na Wapinzani wanashinda sehemu chache.
Na ingawa CCM hawana shida na Wapinzani kuchukua nafasi hapa na pale; hakuna Katibu Kata anayetaka Wapinzani washinde kwenye Kata yake.
Kwa hiyo hii inaleta vurugu katika Uchaguzi.
Uchaguzi ukiwa wa amani,hatutaona matatizo kama tunayoyaona sasa hivi Msumbiji.
Uchaguzi umefanyika Afrika Kusini na Botswana juzi: umefanyika kimya kimya; ndio hivyo tu tunavyotaka Uchaguzi wa tarehe 27 uwe.
Na Chadema wanabishana wakati mbaya .
Huu ni wakati wa Chadema kuwa na Umoja.
Mambo yanayoondoa Umoja katika Chama ni kama mnabishana: jambo dogo watu wanaliita jambo kubwa: jambo kubwa watu wanaliita jambo dogo.
Kosa watu wanasema siyo kosa; jambo ambalo siyo kosa wanasema ni kosa.
Kwa hiyo, Chadema waungane sasa for this task they have to do now.
 
Hawajui hilo wao wanachowaua kuchukua dola
 
Putin.jpg
 
..huu ni uzushi wa Ccm.

..Polisi hawawezi kufanya kazi kwa mashinikizo, au maelekezo, ya Chadema.
 
Na Chadema wanabishana wakati mbaya .
"Wakati mbaya", au wakati ulio pangwa?
Kwani CCM hawana uwezo wa kuwapambanisha CHADEMA wao kwa wao, ili iwawie rahisi kufanya uchafu wao? Hii ilikuwa ni mipango ya muda mrefu, tokea enzi za "Mazungumzo ya Maridhiano". Aliye dhani kazi hiyo imeishia pale atakuwa amedanganyika.
Hali haijawahi kuwa tulivu ndani ya CHADEMA tokea wakati huo wa maridhiano. Sasa ni wakati mwafaka kwa kundi lililo karibu na CCM ndani ya CHADEMA kumaliza kazi yao.
Sasa tunakwenda kwenye huu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: matumaini yangu ni kwamba itakuwa Uchaguzi wa amani.
Huu ni Uchaguzi ambao utaonyesha hali ya siasa ilivyo na tutegemee nini mwaka kesho
Sijui haya matumaini yako juu ya "uchaguzi wa HAKI" unatokana na nini, baada ya kuona dalili zote (hapana siyo "dalili") bali uhalisia wa maandalizi ya uchafuzi wa uchaguzi unaofanywa bayana na Wizara inayo mfanyia kazi Rais ili aendelee kuwepo kwenye madaraka, hata kama wananchi hawataki!
CHADEMA watakuwa wamechezea mikononi mwa mahasimu wao wakijiingiza kichwa kichwa kwenye mtafaruku mkubwa unaotengenezwa maksudi kabla ya uchaguzi wenyewe wa 2025.
Ushauri wangu, CHADEMA wautumie huu uchafuzi wa tarehe 27 kujifunza aina ya mbinu zinazotengenezwa ili zitumike hapo 2025. Wakizisoma na kuzielewa vizuri mbinu hizo, hapo ndipo wazamishe miziz ya kukataa upuuzi huo wa 2025 kwa kila njia inayo wezekana. Kazi hiyo haiwezekani bila ya kuwa elimisha wananchi na kuwaongoza wakatae hujuma hizo. Hiyo ndiyo kazi muhimu wanayo takiwa kuianza mara moja CHADEMA Kusuka mipango ya kukataa upuuzi 2025 kwa kuwategemea wananchi wenye uelewa wa nini kifanyike.
 
..huu ni uzushi wa Ccm.

..Polisi hawawezi kufanya kazi kwa mashinikizo, au maelekezo, ya Chadema.
Nadhani umemwelewa kivingine mleta mada.
Mashinikizo hayafanywi na CHADEMA; bali CCM kupitia kwa wakala wao ndani ya CHADEMA.
 
Yapo madai kwamba mikutano mwingine ya Chadema inaruhusiwa na Polisi lakini baadaye Polisi wanaizuia kutokana na shinikizo kutoka ndani ya Chadema.
Sasa tunakwenda kwenye huu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: matumaini yangu ni kwamba itakuwa Uchaguzi wa amani.
Huu ni Uchaguzi ambao utaonyesha hali ya siasa ilivyo na tutegemee nini mwaka kesho
Kwa hiyo Uchaguzi huu ni muhimu sana,na ni muhimu uwe na amani,ni muhimu uwe wa haki.
Na watu wengine hawako chama chochote:ni muhimu wafanye maamuzi sahihi ya kuchagia viongozi.
Tatizo la hizi chaguzi ni kwamba CCM ndio ina kawaida kushinda.
Na Wapinzani wanashinda sehemu chache.
Na ingawa CCM hawana shida na Wapinzani kuchukua nafasi hapa na pale; hakuna Katibu Kata anayetaka Wapinzani washinde kwenye Kata yake.
Kwa hiyo hii inaleta vurugu katika Uchaguzi.
Uchaguzi ukiwa wa amani,hatutaona matatizo kama tunayoyaona sasa hivi Msumbiji.
Uchaguzi umefanyika Afrika Kusini na Botswana juzi: umefanyika kimya kimya; ndio hivyo tu tunavyotaka Uchaguzi wa tarehe 27 uwe.
Na Chadema wanabishana wakati mbaya .
Huu ni wakati wa Chadema kuwa na Umoja.
Mambo yanayoondoa Umoja katika Chama ni kama mnabishana: jambo dogo watu wanaliita jambo kubwa: jambo kubwa watu wanaliita jambo dogo.
Kosa watu wanasema siyo kosa; jambo ambalo siyo kosa wanasema ni kosa.
Kwa hiyo, Chadema waungane sasa for this task they have to do now.
Erythrocyte IS THIS TRUE? TAKE NOTE PLEASE. HUU NI MUDA VERY FRAGILE
 
Mnajitia vidole hafu mnajinusa wenyewe CCM kaz mnayo
 
Back
Top Bottom