Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Yapo madai kwamba mikutano mwingine ya Chadema inaruhusiwa na Polisi lakini baadaye Polisi wanaizuia kutokana na shinikizo kutoka ndani ya Chadema.
Sasa tunakwenda kwenye huu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: matumaini yangu ni kwamba itakuwa Uchaguzi wa amani.
Huu ni Uchaguzi ambao utaonyesha hali ya siasa ilivyo na tutegemee nini mwaka kesho
Kwa hiyo Uchaguzi huu ni muhimu sana,na ni muhimu uwe na amani,ni muhimu uwe wa haki.
Na watu wengine hawako chama chochote:ni muhimu wafanye maamuzi sahihi ya kuchagia viongozi.
Tatizo la hizi chaguzi ni kwamba CCM ndio ina kawaida kushinda.
Na Wapinzani wanashinda sehemu chache.
Na ingawa CCM hawana shida na Wapinzani kuchukua nafasi hapa na pale; hakuna Katibu Kata anayetaka Wapinzani washinde kwenye Kata yake.
Kwa hiyo hii inaleta vurugu katika Uchaguzi.
Uchaguzi ukiwa wa amani,hatutaona matatizo kama tunayoyaona sasa hivi Msumbiji.
Uchaguzi umefanyika Afrika Kusini na Botswana juzi: umefanyika kimya kimya; ndio hivyo tu tunavyotaka Uchaguzi wa tarehe 27 uwe.
Na Chadema wanabishana wakati mbaya .
Huu ni wakati wa Chadema kuwa na Umoja.
Mambo yanayoondoa Umoja katika Chama ni kama mnabishana: jambo dogo watu wanaliita jambo kubwa: jambo kubwa watu wanaliita jambo dogo.
Kosa watu wanasema siyo kosa; jambo ambalo siyo kosa wanasema ni kosa.
Kwa hiyo, Chadema waungane sasa for this task they have to do now.