Mpasuko mkubwa kwenye Baraza la Mawaziri kisa kuuzwa kwa Bandari

Nani alikuambia Russia inaongoza kwa kuwa na natural resources nyingi hapa duniani?

Kama Hujui kaa kimya.
 
Hakuna mpasuko wala nini ! Watu wamo kwenye mavieite wanakula bata !!
Sisi makabwela ndio tupo kwenye mpasuko usio kuwa na tija !!

Katiba bora mpya ndio suluhisho la matatizo yetu sio Bandari wala magati yake !!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti mchana kweupe.

Lakini Mkuu unaonaje hali?
Heri ipi?Miaka 5 uliyoiita hopeless,ama kwa sasa tupo kwenye right track?
Wote wezi wa kura kwa hiyo hakuna unafuu kwetu hadi pale kura zetu zitakapoheshimiwa
 
Kwa yanayotokea mwanamke hatakuja kuwa rais wa Tanzania kamwe maana yanaaibisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiwanyime fursa wanawake Mkuu

Wanawake tunaweza.

Tunaupiga mwingi.


Wapo wanawake wengi tu watagombea Tena,akiwepo Mama mwenyewe.


Kuna akina Mama makini akina Sendiga,Migiro na wengine wengi.
 
Hakuna mpasuko wala nini ! Watu wamo kwenye mavieite wanakula bata !!
Sisi makabwela ndio tupo kwenye mpasuko usio kuwa na tija !!

Katiba bora mpya ndio suluhisho la matatizo yetu sio Bandari wala magati yake !!
Bandari kuuzwa ni dalili ya ugonjwa wa kifaduro kwenye katiba yetu. Huwezi ukatofautisha haya mambo mawili
 
Rubbish.

Mnashusha hadhi ya jukwaa la siasa, Samia ndio Mwenyekiti wa Ccm na Amiri Jeshi mkuu.

Kama una akili ndogo si lazima kuanzisha thread.
Rais Samia ndio M/kiti wa Ccm na Amiri Jeshi Mkuu
Ulichokiandika kinahusu wapi kwenye kujibu au kujenga oja yako au kupinga au kukubaliana na mleta mada?


Naquote maneno yako
》Rubbish
》Kama una akili ndogo

Then tafakari nani anayastahili
 
Ninashukuru umetupa matumaini hata mimi ninaamini tukimpata mwanamke aliyechaguliwa na wananchi siyo mwizi wa kura atatufaa sanaaaaaaa
 
Msamehe tu ni hizi hongo ndizo zinamtesa
 
Bandari kuuzwa ni dalili ya ugonjwa wa kifaduro kwenye katiba yetu. Huwezi ukatofautisha haya mambo mawili
Ndio maana tunasema katiba mpya bora ndio muarobaini wa matatizo yetu mengi yaliyopo na yatakayokuja !!

Mengine yote ni abracadabra tu !! Tumeona wakuu wote wa Nchi waliopita wamefanya waliyoyafanya hata kama baadhi ya watu hawakuyapenda yaliyofanywa ! Yote hiyo ni kwa sababu Katiba haijawakataza kufanya vile !!
 
Tatizo la vuguvugu la katiba mpya wengi hawajatafakari tatizo ni mfumo wa demokrasia ya vyama vingi ndipo ilipotufikisha hapa tulipo.

Demokrasia inapaswa iwe ya kuwatumikia watu siyo vyama vya siasa na ndiyo maana vyama vya siasa vinacheza rafu na hakuna wa kuwadhibiti.

Badiliko kuu tunalolihitaji na mfumo wa demokrasia ya wananchi wa Tanzania badala ya demokrasia ya vyama vingi vya siasa
 
Nchi imeuzwa hii ili tujengewe misikiti.
Lengo kuu ni kutumia fursa za ajira kutusilimisha. Wataanza kuuliza dini ya mtafuta ajira akiwaambia siyo muislamu hawamwajiri na hata akisema ni Mwislamu watamuuliza mistari ya Koran ili kujihakikishia ni mwenzao
 
Ndiyo maana ktk ule uzi wa Smia niliandika "Alot of nothing" . Kuanzia sasa badilisha heading ya ule uzi.
Siwezi utabaki hivyo hivyo kumkumbusha alianza vizuri kwa kututoa khofu za kudhulumiwa haki zetu za ubinadamu sasa kaenda kulekule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…