Tetesi: Mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

Hapo kuwa CDM (kama unamaanisha CHADEMA) kuwa haitaki mgombea binafsi , huo ni uongo wa waziwazi kabisa.
 
Nje ya CCM hana nguvu zozote Mkuu.
 
Kwa kuwa unaamini mwisho ni ushindi unao_matter bila kujali umepatikanaje, hao wapinzani wa JPM nao wanaweza kupita njia hiyo hiyo na JPM asirudi ofisini.
 
Mh. Membe anasema wanasubiri jibu ili waamue cha kufanya -- najiuliza yeye na kina nani?
 
10 years ndo muda wake anaotakiwa kuongoza kama ataaminiwa na atapitishwa tena na chama 2020-2025 ambapo mpaka sasa asilimia ni 99.8, asilimia 1 inayobaki ni endapo ataumwa, 0.5 ni endapo atatutoka maana naye ni binadamu, na asilimia 0.5 nyingine ni ile ya mpinzani wake aliyosema kati ya june to oct lolote linaweza kutokea.

Ni mnyenyekevu kwa wanyonge na wazalendo, kama wewe si mmoja wao utayeseka sana.
 
Udikteta unakula hadi kwenye chama zee, wacha macho yetu yashuhudie.
 
Hivi mtu aliyewahi kuwa Waziri wa mambo ya nje, bado unamuona tu kuwa alikuwa mwanachama wa kawaida?

Mlikuwa na sababu zipi za kumjadili kwenye Kamati Kuu, kama mlimchukulia ni mwanachama wa kawaida tu?

Ni kwanini mlihangaika na kumwagiza Katibu wenu wa Itikadi na uenezi, aitishe kikao na waandishi wa habari, kuelezea maamuzi yenu ya Kamati Kuu, kama Membe mnamchikulia kuwa ni mwanachama wa kawaida?
 

Membe ana madhara na mwenyekiti wa chama anajua hilo, sema hii vita anayoipigana ni kubwa kwake, kuishinda anahitaji sapoti ya wazee na watu wazito sana chamani.

Kuna watu wachache sana wakimsapoti shughuli itakuwa imeisha ila mpaka sasa probability ya kufanikiwa ni ndogo kuliko udogo wenyewe lakini ipo. Na akishindwa plan B ipo sema ni ngumu zaidi kumfikisha anapotaka.
 
😁😁😁😁😁😁😁
Bora niendelee kujifukiza huo mpasuko wa skirt au mpasuko wa kioo
 
😁😁😁😁😁😁😁
Bora niendelee kujifukiza huo mpasuko wa skirt au mpasuko wa kioo
 
Upo sahihi, hii mijadala isingekuwepo kama ushindani ungeruhusiwa sababu atashinda tu. Sijui kwann chama kinakubali hii mijadala.
 
Sasa ngoja tuwasubiri wenye chama chao, wamuonyeshe mlango wa kutokea huyo Jiwe, anayeamini kuwa "there is nobody to defeat him"
Nakunja vidole mkuu 'Mystery', kama kuna la ziada unalojua nisilojua mimi.

Lakini ukweli ni kwamba huyo mtu hana cha kufuata taratibu, sheria, wala katiba. Kwake hayo mambo ni usumbufu tu na vizuizi vya kutaka kufanya apendavyo yeye, na ndio maana haheshimu hizo taratibu.

Labda nikupe mfano wa kukuonyesha kwamba hayo unayotegemea CCM wayafanye hakuna...; Kinana alipopima na kuona maji ni zidi ya shingo yake, akaamua kufanya kila mtu alivyofanya, kajisalimisha. Usitegemee kuwa kuna mtu au watu CCM wanaoweza kufanya lolote zidi ya mtu mmoja huyu anayemiliki chama na vifaa vyote vya kuwakandamiza wasiokubali anayotaka yeye.

Huu ndio ukweli wenyewe. Hakuna.
 
Inaelekea Huijuii siasa wewe...!! Acha kabisaa mzeee ndo maana ametoa form Mojaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vuta punzi mkuu ingekuwa hayo usemayo yanamashiko basi asingeogopwa kiasi hicho hebu mruhusuni basi tuone kama hatamsumbua mkulu.
 
Vuta punzi mkuu ingekuwa hayo usemayo yanamashiko basi asingeogopwa kiasi hicho hebu mruhusuni basi tuone kama hatamsumbua mkulu.
Akili ndogo hizi, hivi anavyobwabwaja mitandaoni mnaona anaogopwa. Basi kama ana nguvu aende chama chochote akajipime na Magu. Ikiwa hawezi kwenda chama pinzani akajipima na Magu sasa anawezaje kujipima ndani ya CCM?

Huyu hata robo ya kura za Lowasssa hawez kupata. Endeleeni kujifariji au mchukueni kwenye chama chenu agombee ikiwa mnaona ni Tisho kwa JPM na CCM
 
Kama Membe ni muhimu na anauwezo wa kushinda urais nashauri CHADEMA imuchukue.
 
Vuta punzi mkuu ingekuwa hayo usemayo yanamashiko basi asingeogopwa kiasi hicho hebu mruhusuni basi tuone kama hatamsumbua mkulu.
Ikiwa anaona ana nguvu aende upinzani akamsumbue sio anatumia gia ya jambo haliwezekani na sio utamamduni wa chama!! Huyu ni debe tu lilitupwa na system linajaribu kulia ili lisikike.

La mchukueni watu wa Ufipa au ACT muione demo.
 
Walishasema dawa ya MPUUZI NI KUMPUUZA. Nayaona mengi ambayo huenda yasitufariji sana sisi KAZI NA BATA team.

1. Wajumbe wa Halmashauri kuu CCM ni kina nani?

2. Kama anavyodai ni kweli? Yeye CCM alikua na cheo gani wakati anafurushwa?

3. Je? Kukiukwa kwa utaratibu kunabatilisha uamuzi? Iwapo upo utaratibu uliokiukwa?

Mwisho na kwa umuhimu sana.
Bernard Camilius Membe ametoa taswira fikirishi kwa uwepo wa vyama vya siasa hapa nchini...

a. Tofauti na wengi walivyozoea ukitimuliwa chama unatafuta chama kingine na maisha yanaendelea ila Membe ameonyesha bado ana Imani na CCM tatizo lake ni njia anazotumia

b. Membe anaamini kwamba nje ya CCM hawezi kufanya siasa na mialiko anayopewa na vyama vingine vya siasa ni kwa ajili ya kuvipatia mileage vyama hivyo kisiasa kuliko kumuimarisha yeye.

AHSANTE
 
Kwahiyo alivyotuita wapumbavu ndiyo iliifanya nchi yetu kuwa na uwezo wa kuwahudumia wananchi bila kutembeza bakuli kwa mabeberu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Jumatatu ndo hiyoooo inayoyoma hebu nipe habari huyo membe wako kachukua fomu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…