Tetesi: Mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

Mambe alikuwa anajifariji na kujipigia story na wamwera wenzie wala asiwape tabu hana lolote la maana kwa sasa
 
Ccm kwa sasa limebakia kwenye bendera tu, kiuhalisia haipo kabisa
 
Na ile Jumatatu aliyoisema Membe, kuwa atatinga Dodoma, kwenda chukua fomu yake ya Urais ndiyo ishafika...........

Ngoja tusubiri tuone kama Dkt Bashiru, kama tulivyowazoea mbinu zao, watatia komeo geti kuu la kuingilia, tena ndani ya ulinzi mkali!
aahaaaaaaha ccm bhana watatumia mbinu iliyotumika chaguzi serikali za mitaa,tuone kachero atafanyeje
 
Tulieni muizike ccm yenu na kwa taarifa yenu leo mwamba anachukua form, liwake jua inyeshe mvua
 
Aaah wapi walishamkabidhi ufunguo watamfanya nn,yeye ndie Mkubwa kuliko chama.Labda tu wangekuwa na mfumo Kama wa ANC yaani wa kutenganisha kofia mbili.Yaani mwenyekiti mwingine abakie na majukumu ya kujenga chama na rais ni mwingine abakie kutekeleza ilani ya chama hapa wangeweza yaani Kama rais anakwenda kinyume anafukuzwa uanachama Kama ilivo kwa ANC na ZANU wao Hakuna Mkubwa kuliko chama.Tofauti na ccm mwenyekiti ni Mkubwa kuliko chama,we uoni wote wameufyata hata ule wimbo wa wataisoma namba awauimbi this days walidhani itawahusu wapinzani tu.
Hata majina ya wagombea wa nafasi zote ubunge na udiwani mmiliki wa chama ndie atakaeyapitisha na sio NEC.Na cv atakayoiangalia ni uwezo wako binafsi wa kusifu na kuabudu, kuwashughulikia wapinzani kuwatusi kuwabeza wapinzani.Ukiwa smart sahau kuhusu kupita.Wanaccm watalazimishwa kuchaguliwa wagombea wawe wanawataka au la subiria utaona
 
Nimepita pale ofisini asubuhi hii nimekuta getini wameweka walinzi wawili mmojawapo ni kipara kipya na magonjwa mtambuka
Na ile Jumatatu aliyoisema Membe, kuwa atatinga Dodoma, kwenda chukua fomu yake ya Urais ndiyo ishafika...........

Ngoja tusubiri tuone kama Dkt Bashiru, kama tulivyowazoea mbinu zao, watatia komeo geti kuu la kuingilia, tena ndani ya ulinzi mkali!
 
Tulieni muizike ccm yenu na kwa taarifa yenu leo mwamba anachukua form, liwake jua inyeshe mvua
Endeleeeni kumpa kichwa na fomu zenu za mitandaoni.

Mimi pia nimechukua fomu NHIF so mwacheni achukue ikiwa mnadhan kuchukua fomu ni tija. Ndipo mtajua mnashabikia ujinga
 
Huyu Mbowe anaiendeshaje tena CCM!
 
Sasa kama hawamwogopi kwanini wanasita katika kufuata katiba kukamilisha kumtoa?
Membe atapewa barua yake very soon awe mpole asilete kiherehere chake kwanza hata ukisikiliza speech yake ni mtu aliye jikatia tamaa kabisaa! Hahahaaa eti "na mnogeshajiiii nimimiiiiiii" membe bwana kawa kama mtoto.
 
Kumekucha huko dodoma
Your browser is not able to display this video.
 
Wasahau kabisa Kama wanayo maamuzi si wao Wala si NEC,watakuwa vipi na maamuzi ya chumba Hali walisharudisha funguo.
 
Kweli mkuu tatizo Membe anadhani bado anaweza pata support ya kupimana nguvu na JPM akati kiukweli now wakubwa wengi kwa Uoga ama unafiki wapo kwa Jiwee yani kutake side ya member now ni kujitafutia matatizo. Jamaa atulieee mpaka mwaka 2025 penginee CCM inaweza mpa nafasi kama kweli atarudishwa chamani lakini mpaka sasa hata akitoka JPM pale ccm mtu kama KASIM MAJALIWAA ANAFAA ZAIDI KULIKO MEMBE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…