Tetesi: Mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

Tetesi: Mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

Kudhani Membe anaweza kusababisha mpasuko ndani ya CCM ya sasa ni sawa na mtu anayesubiri usafiri wa meli sehemu ambayo hakuna Ziwa au bahari!

Kama wewe ni mtu unayejua kupambanua masuala, ukiyachanganua yale ambayo Membe ameyasema juzi utagundua kuwa ni mtu asiyejua hata mbinu za kisiasa lakini kikubwa zaidi hajui hata nafasi yake ndani ya CCM ya sasa!

Membe is no more as CCM member!
Mambe alikuwa anajifariji na kujipigia story na wamwera wenzie wala asiwape tabu hana lolote la maana kwa sasa
 
Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...

Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama

Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.

Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.

Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo

Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?

Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM

Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!

Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Ccm kwa sasa limebakia kwenye bendera tu, kiuhalisia haipo kabisa
 
Na ile Jumatatu aliyoisema Membe, kuwa atatinga Dodoma, kwenda chukua fomu yake ya Urais ndiyo ishafika...........

Ngoja tusubiri tuone kama Dkt Bashiru, kama tulivyowazoea mbinu zao, watatia komeo geti kuu la kuingilia, tena ndani ya ulinzi mkali!
aahaaaaaaha ccm bhana watatumia mbinu iliyotumika chaguzi serikali za mitaa,tuone kachero atafanyeje
 
Tulieni muizike ccm yenu na kwa taarifa yenu leo mwamba anachukua form, liwake jua inyeshe mvua
Ulikuwa unaota mpasuko wa sketi au underskate a.k.a shumizi.

Yaani membe ndio wa kuleta mpasuko CCM? Mtu pekee alijipanga na kusumbua CCM ni LOWASSA huyu hata mtikisiko hawezi sababisha. Huo ubobezi wa ukachero alikuwa nao akiwa kwenye system. Sasa hivi ni sawa na samaki nje ya maji anatapata tu hana lolote.
 
Kalamu1
Najua kuwa Jiwe ameamua kuisigina Katiba ya nchi atakavyo......

Lakini hicho ndiyo kiapo alichokula kabla ya kuingia madarakani?

Hiyo najua ni ulevi wa madaraka uliyopindukia...........

Sasa ngoja tuwasubiri wenye chama chao, wamuonyeshe mlango wa kutokea huyo Jiwe, anayeamini kuwa "there is nobody to defeat him"
Aaah wapi walishamkabidhi ufunguo watamfanya nn,yeye ndie Mkubwa kuliko chama.Labda tu wangekuwa na mfumo Kama wa ANC yaani wa kutenganisha kofia mbili.Yaani mwenyekiti mwingine abakie na majukumu ya kujenga chama na rais ni mwingine abakie kutekeleza ilani ya chama hapa wangeweza yaani Kama rais anakwenda kinyume anafukuzwa uanachama Kama ilivo kwa ANC na ZANU wao Hakuna Mkubwa kuliko chama.Tofauti na ccm mwenyekiti ni Mkubwa kuliko chama,we uoni wote wameufyata hata ule wimbo wa wataisoma namba awauimbi this days walidhani itawahusu wapinzani tu.
Hata majina ya wagombea wa nafasi zote ubunge na udiwani mmiliki wa chama ndie atakaeyapitisha na sio NEC.Na cv atakayoiangalia ni uwezo wako binafsi wa kusifu na kuabudu, kuwashughulikia wapinzani kuwatusi kuwabeza wapinzani.Ukiwa smart sahau kuhusu kupita.Wanaccm watalazimishwa kuchaguliwa wagombea wawe wanawataka au la subiria utaona
 
Nimepita pale ofisini asubuhi hii nimekuta getini wameweka walinzi wawili mmojawapo ni kipara kipya na magonjwa mtambuka
Na ile Jumatatu aliyoisema Membe, kuwa atatinga Dodoma, kwenda chukua fomu yake ya Urais ndiyo ishafika...........

Ngoja tusubiri tuone kama Dkt Bashiru, kama tulivyowazoea mbinu zao, watatia komeo geti kuu la kuingilia, tena ndani ya ulinzi mkali!
 
Tulieni muizike ccm yenu na kwa taarifa yenu leo mwamba anachukua form, liwake jua inyeshe mvua
Endeleeeni kumpa kichwa na fomu zenu za mitandaoni.

Mimi pia nimechukua fomu NHIF so mwacheni achukue ikiwa mnadhan kuchukua fomu ni tija. Ndipo mtajua mnashabikia ujinga
 
Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...

Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama

Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.

Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.

Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo

Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?

Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM

Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!

Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Huyu Mbowe anaiendeshaje tena CCM!
 
Sasa kama hawamwogopi kwanini wanasita katika kufuata katiba kukamilisha kumtoa?
Membe atapewa barua yake very soon awe mpole asilete kiherehere chake kwanza hata ukisikiliza speech yake ni mtu aliye jikatia tamaa kabisaa! Hahahaaa eti "na mnogeshajiiii nimimiiiiiii" membe bwana kawa kama mtoto.
 
Kumekucha huko dodoma
 
Wasahau kabisa Kama wanayo maamuzi si wao Wala si NEC,watakuwa vipi na maamuzi ya chumba Hali walisharudisha funguo.
 
Ni sahihi mkuu na naamin huyu jamaa atakuwa na bahati sana kutoka salama kwenye hili. Kwa kawaida dola zina nguvu sana na zinaweza kufanya chochote na kwa yoyote. Kwa dunia ya tatu ambako unakuta dola zimejaa chuki na visasi hali huwa ni ya hatari zaidi wakikushndwa mchana basi watakusaka hata huko gizani wakumalize.

Huyu jamaa angetulia tu, kama anakubalika angerudi tu 2025 au hata miaka ya huko mbeleni, wkt watu wamebadilika na siasa zipo kivngine.

Mbona Wade wa kule west afrika alipata urais akiwa na miaka zaidi ya 70 au huyu rais wa sasa wa sauzi kuna wkt alitengwa kabisa na watawala, lakn yeye hakupimana ubavu na kujibishana na watawala alikaa pembeni kabisa akawa kimya kwa miaka mingi tu lakin leo hii jamaa ndo kakamata nchi.

Wakat mwngne subra huvuta heri.
Kweli mkuu tatizo Membe anadhani bado anaweza pata support ya kupimana nguvu na JPM akati kiukweli now wakubwa wengi kwa Uoga ama unafiki wapo kwa Jiwee yani kutake side ya member now ni kujitafutia matatizo. Jamaa atulieee mpaka mwaka 2025 penginee CCM inaweza mpa nafasi kama kweli atarudishwa chamani lakini mpaka sasa hata akitoka JPM pale ccm mtu kama KASIM MAJALIWAA ANAFAA ZAIDI KULIKO MEMBE.
 
Back
Top Bottom