TANZIA Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia

Pole sana kwa wafiwa. Prime Minister achukue tahadhari maana kuna watu kadhaa amekutana nao karibuni na sasa wamefariki.

Kama ni siku zao zilifika basi haina shida ila kama ni COVID 19, apunguze kukutana na watu kama anavyofanya sasa.
kweli apunguze . . .kazi ipo tu
 
Nadhani kweli amemchanganya huyu Minyenya. Kama ametokea mikoani na hapo makao makuu ana muda mfupi sasa anahusikaje na kesi ya Kabendera?
Amemchanganya, Minyenya kwa miaka mingi amekuwa Mkuu wa PCCB mikoa tofauti tofauti na Hana muda mrefu sana makao makuu! Wakati mahakama ya mafisadi inaanza na hizo kesi za hao watu alikuwa bado hajahamia makao makuu

Sent using kidole gumba
 
Utatetea sana. Kiungwana toa pole kwa familia ya afisa wa TAKURURU.
Acheni uchawi nyie watu, kwani zamani watu walikuwa hawafi??!, yaani sasa hivi asife hata mlinzi, tayari Tanzia inaletwa tena mnaileta kwa bashasha as if ni sifa kuleta habari za Tanzia, acheni hizo bhana
 
Muda wake umeisha R.I.P
 
Amemchanganya, Minyenya kwa miaka mingi amekuwa Mkuu wa PCCB mikoa tofauti tofauti na Hana muda mrefu sana makao makuu! Wakati mahakama ya mafisadi inaanza na hizo kesi za hao watu alikuwa bado hajahamia makao makuu

Sent using kidole gumba
Kama sikosei alitokea Katavi kama Mkuu wa PCCB Mkoa. So sadly,jamaa alikuwa mtu fair, humble na msikivu sana. Pumzika kwa amani Kamanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimpangie Mungu ndugu yangu, Sema "alale anapostahili"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…