TANZIA Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia

TANZIA Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia

Labda yeye ndio carrier!

Yani anaewekwa kwenye risk ni yeye PM tu?

Mwafrika, acha kujifikiria na kujithaminisha kinyani nyani na kujishusha.

Kiongozi ni binadamu kama wewe, maisha yako ni just as worthy.
Acha upuuzi wako wewe, usikimbilie kujibu kama huelewi!
 
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

AMEN
 
Watawala wanadhani watz wote ni maBWEGE tangu lini nyungu ikaongoa Covid wanatuletea ushirikina! dawa ya Covid wafanya mazoezi ... kunywa tangawizi... limao na vitunguuu kama hukuwahi kuwa na magonjwa mengine utaishi hayo ya nyungu ni ujinga tu
Ninachoshangaa marehemu wana historia ya kupiga nyungu lakini covid haiwaachi salama! Kifoo kifoo, kifo hakina huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya kumekucha wa wadau. Leo mdudu sijui ataanzia Dodoma au wapi sijui! Ila tujue tu lazima jioni covid afunge hesabu ya vigogo hata ujifiche wapi!
 
Hii ningepost mimi ingeleta shida sana

Jr[emoji769]
Kumbe unajijua unavyoleta habari zako za vifo na mapambio.....
badilika bro kuleta habari ya kifo sio issue wala sio kosa.....
kosa ni kuleta habari na chanzo cha kifo bila kuwa na medical proof PMR pia bila ku - seac consent ya ndugu wa marehemu hususa kwenye chanzo cha kifo....
kama ni muungwana utanielewa lkn kama ni kibri
I beg to rest my case....
 
Akifa na huyo mwigine hapo sijui itakuaje?maana walikua in touch.
 
Acheni uchawi nyie watu, kwani zamani watu walikuwa hawafi??!, yaani sasa hivi asife hata mlinzi, tayari Tanzia inaletwa tena mnaileta kwa bashasha as if ni sifa kuleta habari za Tanzia, acheni hizo bhana
ngoja yakukut ndio utatia akilia, ushaona lini wabunge watatu, wakuu wa wilaya 2 wanakufa ndai ya wiki mbili?
 
Back
Top Bottom