nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,035
Waliofanya kazi na huyo jamaa wanamjua hakuwa mtu wa chenga chenga na alikuwa smart kwenye kazi, sio mtu wa kuonea awe mtumishi au mtuhumiwa, nenda kafuatilie mikoa aliyosimamia kama kiongozi wa mikoa hiyo utapata taarifa zake!Mkuu tuna inside infoz kuwa alikuwemo kwenye timu ya kuhakiki barua za kuomba msamaha kwa wenye kesi za rushwa na uhujumu uchumi!Endelea kukaza shingo!
Sio busara mtu anapofariki na kuanza kumchafua!
Sent using kidole gumba