TANZIA Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia

TANZIA Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia

Acheni uchawi nyie watu, kwani zamani watu walikuwa hawafi??!, yaani sasa hivi asife hata mlinzi, tayari Tanzia inaletwa tena mnaileta kwa bashasha as if ni sifa kuleta habari za Tanzia, acheni hizo bhana
 
Hii ningepost mimi ingeleta shida sana

Jr[emoji769]
Unapenda sifa za kipumbavu, jitathmini, vifo vya watu sio kete ya kujitafutia umaarufu, mnashindana na kupigana vikumbo kuwa wa kwanza kuketa Tanzia jukwaani, tena mnaileta bashasha as if kuna timu ya mpira imeshinda goli sijui, this is ridiculous!
 
Alazwe pema

Sote tuko njia moja ila isije ikawa matatizo ya kushindwa kupumua tutashindwa kutoka majumbani wengine kwa hofu na serikali itakosa mapato
 
Acheni uchawi nyie watu, kwani zamani watu walikuwa hawafi??!, yaani sasa hivi asife hata mlinzi, tayari Tanzia inaletwa tena mnaileta kwa bashasha as if ni sifa kuleta habari za Tanzia, acheni hizo bhana

Mkuu huyu ni mpelelezi mkuu wa TAKUKURU sio kijamba nani kama wewe. Wewe kufa uone kama kuna mtu ata mmoja atashughulika na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom