TANZIA Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia

TANZIA Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia

Wale mnaoulizaga mafanikio gani umeyapata mwaka uliopita km nitakuwepo hai basi ni kufanikiwa kuvuka mwaka 2020
tapatalk_1588536729840.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ushahidi upi? Hakuna ayefurahia mwanadamu kufa. Ni hali ambayo CCM wameianzisha ya kutaka kuwaua wapinzani tanzania. Ya Lisu yanafurahisha? Akifa aliyetaka kumuua Lisu nitakunywa bia 1,000,000.. Vinginevyo mbona haya hayakuwepo wakati wa Kikwete?

Mimi huyu aliemfanyia dhulumati lissu bungeni ..anayejifanya hataachia kile kiti cha mhimili wa bungeni aiseee....nitaenda nywea bia Mafiaaaa ..unanywea ukiwa majini kbs!takataka kabisa *******
 
Taarifa za watu kukutwa na mauti sasa zimekuwa kama jambo la kuzoeleka...

Haipiti wiki hujapata taarifa za ndugu, rafiki, jamaa au 'kibopa' fulani kufariki...
 
Back
Top Bottom