nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,035
Unaona faida gani kudanganya Mkuu!? Msamaha wa wafungwa na mpelelezi wa PCCB wapi na wapi? Au hata majukumu ya PCCB huyajui? Mambo ya kuruka barua ya kabendera ili aendelee kuteseka lupango mbona ni ya kusadikika? Acheni kuchafua watu haisaidii kituHuyu ndiye aliyepokea barua za misamaha ya wafungwa kisha akaruka barua ya Kabendera ili aendelee kuteseka lupango!Aende tu!
Sent using kidole gumba