TANZIA Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia

Mkuu inabidi Chadema wakupe kitengo cha rambirambi

Rip mpelelezi mkuu!
 
Pole sana kwa wafiwa. Prime Minister achukue tahadhari maana kuna watu kadhaa amekutana nao karibuni na sasa wamefariki.

Kama ni siku zao zilifika basi haina shida ila kama ni COVID 19, apunguze kukutana na watu kama anavyofanya sasa.
Kwanini anatangulizwa mbele kila siku? Au ndio kile kisa cha "Mke ww Uria" cha kwenye Bible??
 
Daaah, kweli K. Majaliwa inabidi ajiangalie sana, kwani haoni mkuu wake kajificha Chato.. Nae aende kwao huko Nnacho Lindi huku mjini halo ni tete.. Tunakupenda sana watu wa kusini, tunakupenda wtanzani P.M wetu​
 
kweli watu wanakatika wanazengo....mi nataka kuhama nchi sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…