Mpenda Haki? Mpenda Amani? Jumapili Tukutane Kwa Gwajima!"

Online republic warriors
 
Mliwai kwenda kuiuliza mahakama kwanini polisi wanakataa kutekeleza maagazo yao walio toa?
 
Kama ni dhehebu jipya na mchungaji mpya Haina shida mtafanya ibada
 
Online republic warriors
''Ujinga huzima mwanga wa mwelekeo, elewa kwanza kabla ya kuhukumu."

Nikwambie tu, sisi ni sauti ya wasio na sauti. Kama mitandao ndiyo jukwaa tulilonalo, tukutane jumapili kwa Gwajima.
 
Mliwai kwenda kuiuliza mahakama kwanini polisi wanakataa kutekeleza maagazo yao walio toa?
Kama maagizo yametolewa na mahakama, polisi wanapaswa kuyatekeleza bila masharti, hiyo ndiyo misingi ya utawala wa sheria. Kutotekeleza ni kuvunja mfumo wenyewe.
 
Afadhali yangu niliyekaa kimya bila kuchangia chochote!πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Mawazo yako ni ya muhimu kwa sababu sote tunajenga nyumba moja. Fito moja ikivunjika basi jua nyingine inafuata.
 
Tatizo bongo uoga wa kibwege mwingi sana,......

yaani hapo ndio pa kulianzisha timbwili mpaka iwe mwanzo na mwisho wa uonevu wa watawala.......

Wabongo HATUJITAMBUI,binafsi naumiaga sana kujikuta nipo kwenye jamii ya namna hii
 
Kweli kabisa na simama na wewe ndugu yangu,

Kwa maana ''Uoga wako ndiyo umaskini wako."
 
Nipo kwenye shabiby natokea dodoma muda huu
 
Tatizo bongo uoga wa kibwege mwingi sana,......

yaani hapo ndio pa kulianzisha timbwili mpaka iwe mwanzo na mwisho wa uonevu wa watawala.......

Wabongo HATUJITAMBUI,binafsi naumiaga sana kujikuta nipo kwenye jamii ya namna hii
Yani mkuuu hunizidi mimi
 
Bila shaka Mungu akinipa uzima ,nitafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…