Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

Kwa hiyo bakwata wanakubaliana na huo mkataba wa bandari jinsi ulivyo?
 
Hakuna kingine wanaogopa influence ya mwarabu,wanajua uislam ulifika Tanganyika kupitia mwarabu,bila ujio wa mwarabu pasingekua na uislam,wanajua mwarabu ana pesa,pesa zitaleta miradi Kama shule na hospital ambazo wao wametumia kuvuna waamini
Unachoongea hakiendani na hadhi ambayo JF wamekupa ya kuchangia humu kuwa makini na unachotuandikia humu kwani ndicho tunachotumia kujua kiwango cha upuuzi ulionao kichwani
 
Ndg yangu paskali unazeeka vibaya sana!

Bado hujakubali tu kwamba wewe ni fungu la kukosa period...!?

Tangu kwa komrade Kikwete unafukuzia kwakujipendekeza uingie kwenye cycle ya uongozi wa nchi hii lakini hola! ukampigia chapuo mamvi akaishia kuangukia pua pwaaah! na pale ndo ulibugi totally completely make kwanza huna wa kukushika mkono ndani ya ccm na hii inatokana na unafki wako yaani hujui ni muda upi uwe chawa na kwa mtu yupi wa kukushika mkono!!

We ni born town hapo viunga vya daslam hujiulizi inakuwaje BASHITE, MADELU, SHIGONGO hadi vijana wakimasai(OLE SABAYA) ambao wanatokea huko machakani wanakuzidi uchawa kiasi cha kunyaka nyadhifa nyeti?!

Hao wote walikukuta daslam lumumba kwako ni playground kitambo tangu ukiwa kindagatten... lakini still ukazidiwa mbinu na wadogo yako kina Jerry Murro na Jerry Slaa!?

USHAURI WANGU;
You are walking on a failed dream my bro. Ulitakiwa kushine kipindi cha Magufuli, ila kwa kiherehere chako na u much know ukamuuzi Magu.
Acha kujipendekeza unatia aibu familia.
 
Jamaa apunguze jazba

 
Naona unazeeka vibaya.

TEC hata awamu iliyopita walitoa Nyaraka mbalimbali kupingana na misimamo ya Serikali mmojawapo ni kuhusiana na ugonjwa wa COVID lakini ulikaa kimya.

Naona na wewe unatafuta upewe fungu kutoka DP World!

Kwenye maombi uwa tunawaombea Viongozi wa Serikali waongoze nchi vizuri, Rais awe na afya njema naamini siku maombi yakabadilika na kuwaombea pigo kwa Viongozi wa Serikali wanaoongoza nchi vibaya utakuja hapa kulalamika kwamba viongozi wa dini wanachanganya dini na siasa.
 
Hapana, hawajachanganya, nchi yetu kwanza, fisadi na tapeli wa raslimali zetu lazima akemewe na kila taasisi. Kwenye hili la bandari tulia kabisa tutatumia kila SILAHA kuangamiza matapeli
 
 

Attachments

  • 4ad25074b58940be8c7988c3d0d12642.jpg
    97.6 KB · Views: 2
Wewe Pasco ulitaka TEC waunge mkono kuuza bandari zetu. Alafu udhani nini wananchi tunge wachekea? Dini na makanisa yote yaliyo tusaliti kudai bandari zetu wajiandae kisaikolojia kukumbiwa na waumini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…