Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

We utakuwa sio Mkatoliki ungekuwa Mkatoliki ungeandika vizuri jina la Katibu wa Baraza la Maaskofu
 
Bakwata huku tec kule Tukutane kati kati
 
Hakuna kingine wanaogopa influence ya mwarabu,wanajua uislam ulifika Tanganyika kupitia mwarabu,bila ujio wa mwarabu pasingekua na uislam,wanajua mwarabu ana pesa,pesa zitaleta miradi Kama shule na hospital ambazo wao wametumia kuvuna waamini

Kwa hiyo mwarabu zamani wakati analeta dini hakuwa na pesa, sasa amepata ndiyo anataka alete miradi.

Kwa nini asilete tu hizo pesa bila kutaka kutumia vitega uchumi vyetu?
 
Bro Punguza mafikiri
Ukweli ndio huo
Kanisa kama Kanisa
Karibu tutaelewana
Siasa na dini ni dugu moja so usisumbue kichwa kiviiiiile
Tulipofika pazuri sana sana
 

Kaka Paskali, bado ninataka kuwa na heshima na wewe. Mada yako ni ndefu sana lakini nitajikita kwenye kichwa cha habari. Nauliza tu, ndio hawa hawa ambao mvua ikipotea huwa mnawaita kufanya sala?? Ndio hawa mnawatumia katika kuelimisha jamii kuhusu ushoga, uasherati na hofu ya Mungu?? Ndio hawa hawa mnawatumia kuomba dua katika shughuli mbalimbali za kijamii?? Je ndio hawa hawa ambao taasisi wanazozimiliki kama mahospitali, shule na vyuo ni muhimu katika jamii?? Ndio hawahawa mnawatumia katika kampeni za chaguzi mbalimbali ili kupata kura??

Ni jambo lipi hasa ni la Mungu na lipi ni la kaisari?? Mimi nasema kila kitu na kila mtu na mamlaka aliyonayo - ni vya Mungu. Na dini inaonga maisha ya waamini katika mambo mengi. Uongo, wizi, si mambo ya kiimani???

Tunajenga taifa la hovyo sana! Taifa ambalo nafasi ya kiongozi wa serikali ni sahihi na inatoka kwa kiumbe mkamilifu!! Nilidhani ungetumia muda na nafasi kujibu hoja badala ya kushughulika na hoja inatoka kwa nani. Smart people talk about issues!!
 
Hakuna kingine wanaogopa influence ya mwarabu,wanajua uislam ulifika Tanganyika kupitia mwarabu,bila ujio wa mwarabu pasingekua na uislam,wanajua mwarabu ana pesa,pesa zitaleta miradi Kama shule na hospital ambazo wao wametumia kuvuna waamini
Kama hiyo ndio thinking na matarajio yako kutoka DPW, basi maaskofu wako sahihi.
 
Mhe. Askofu Mbunge wa Kawe(CCM) hebu njoo hapa ujibu madai ya Paskali eti unachanganya dini na siasa, kanisa lako liache milango wazi sisi tutalilinda.
 
Umeanza vizuri na kumalizi vibaya. Katoliki hakuna dini ni maslahi ya watu ndio maana hizi dini wazungu wameshazipuuza. Wale ni wabaguzi na ni wezi wa hasa kodi za serikali na mali za serikali. Rais akiwa mkatoliki hata awe muuaji hutawasikia, akiwa muislam watamsumbua sana na vitu km hivi. Wasimtishe rais wetu awapuuze. Km kugawa wananchi wao ndio wanaofanya kazi hizo kwa kutumia vibaraka km kina Slaa. Rais ukiwasikiliza hawa wachumia tumbo utakwama jumla. Nchi hii yetu ni zaidi ya kikundi flani cha watu. Bandari ndii mlango walokuwa wanautumia kupitishia magendo yao na kukwepa kodi. Kufa kwa Membe ni kn watu wengine wanavyokufa kusihusishwe na ushauri wa Pengo, hizo ni coincidence tu. Msitukuze hao washirikina na walevi. Kanisa katoliki ni hatari kwa mustakabali wa nchi ukiiendekeza, walisababisha mauaji ya halaiki Rwanda, walieneza chuki km alivyoanza dr. Slaa, bado mnacheka nao?
 
Tuanzie hili .Je bunge hili ni wananchi????walilichagua??? Unajua alieliweka Mungu alimhukumu nini??Je kwa maneno haya ya kinafiki ili upate umaarufu kwankusoma nyakati .sisi wadogo zako bado tukikuona tukwambie shikamoo?? Naujibu toka moyoni mwako na MUNGU ataekuhukumu akusikie.Maneno umeandika ww ila tunaoaibika ni sisi wadogo zako
 

Attachments

  • VID-20230729-WA0002.mp4
    1.1 MB
Baraza la maaskovu haliruhisiwi kutoa kauli (matako) ya kukemea au kuipinga uonevu,unyonyaji na ukandamizaji? Kanisa pia lina kazi ya kutetea haki za wananchi kwa kupaaza sauti linapoona haki zao zinakanyagwa na serikali.
Lina haki akiwa raisi muislam tu, akiwa mkristo wanakuja na vistori uchwala
 
Ili uonekane unachanganya dini na siasa lazima uwe muislam ukiwa mkristo unakuwa unatetea rasilimali za nchi
 
Paskali Kwani KAZI ya kanisa ni kufanya Nini,? Ni kuokota tu sadaka na zaka? Kukemea maovu kwenye jamii ni moja ya KAZI ya kanisa, uuzwaji wa bandari pia ni sehemu ya uovu. SHULE ulisomea Nini we Paskali?
 
Kama Wananchi hawasikilizwi, kuna kosa gani Kanisa likasaidia kupaza sauti Mr Paskali, au wewe kubadili Sheria za Nchi ili Mwarabu afaidi Nchi yetu wewe umeridhika?
wananchi wapi wasiosikilizwa ?? au baadhi ya wananchi wakatoliki ??
 
Wakati mwingine tuambiane ukweli .uislamu upi ? Huu shehe mkuu alieishia la saba
Wawapi wewe? Dini yenyewe tu ni elimu hujaona mtu ni PhD holder na bado hata kusoma tu surat naas hajui sembuse kuielewa, hao hawana lolote zaidi ya chuki tu ndiomaana raisi akiwa mgalatia hata kama hana akili huwa wapo kimya, wakina Lisu walipigwa risasi hadharani uliona TEC wakiamka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…