Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

Kama waumini wa dini wakiwemo viongozi wa dini ni waathirika wakuu wa maamuzi ya wanasiasa, unawezaje kuweka dini kando na siasa, mambo mengine bora mkaage kimya tu.
 
Anyway kwenye medani za kijeshi, the highest trained military personally akishafuzu mafunzo,akapangiwa mission ambayo wakuu wake hawana uhakika kama akiimaliza ataendelea kuwa na utimamu uleule wa kiakili,na ili akirudi kwenye maisha ya kawaida asije akatumia ujuzi wake kuidhuru jamii inayomzunguka kutokana na athari za mission aliyokamilisha baasi wakubwa wake huwa wanamuandalia mtu anayeitwa -HANDLER

HANDLER-huwa ana nguvu na uwezo ambao ni kama rufaa kwa highest trained military personally.HANDLER siku zote ana keep distance kutoka kwa mtu anaye mhandle ila anahakikisha anajua kila kitu anachokifanya military personally. Mara nyingi HANDLER ni pro-active na sio reactive.

TEC na BAKWATA ni HANDLER wa kila uongozi unaopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania.ni haki yao
 
Pascal Mayalla
Unachopaswa kujua ni kwamba dini ndio imezaa siasa,kwa mantiki hiyo siasa na dini ni hoja ya kifamilia na familia ni blood-ties.kasome biblia yako vizuri usidokoe kifungu kimoja kimoja.soma ilikuwaje israel uliyoenda kuhiji ilikuwaje ikampata mfalme wake wa kwanza sauli na nani aliendelea kusimamia uteuzi wa wafalme ndani ya israel ambao ni chimbuko la imani yako ya kikristo.soma bro.relaax.
 
Uteuzi mkuu, njaa mbaya Sana uko tayari kuuza utu wako? Pole Sana kwa Mayalla(njaa?)
 
Amen.
 
Uliyoyaandika ninayaelewa miaka na miaka, kuna siasa zinaendelea na maadui wakubwa wa DP World wapo ndani ya CCM wenyewe.

Hao maaskofu walielimishwa na wakasaini makaratasi ya mawakili wa serikali kwamba wanaunga mkono kinachotaka kufanyika, leo hii unapoona wamegeuka ujue kuna mkono wa wanasiasa waandamizi wenye maslahi yao katika suala zima la bandari ile.

Mimi ni mkatoliki, shule ya msingi nilisoma forodhani miaka ile ya 80 tulifundishwa na masista masomo ya komunio ya kwanza, na mwaka huo 83 nikapata komunio mwezi wa tisa tarehe 25 siku ya Jumapili. 86 nikapata kipa imara hapo hapo Saint Joseph, nimekua nikisali kanisa hilo miaka na miaka, nimekataa kuwa kondoo anayeswagwa kwenye suala la DP World kwani najua tunakwenda kupata nini.

Kufunga na kuongozwa na roho mtakatifu ni masuala ya kawaida sana, ninayaelewa kuliko unavyosema. Hata mashekhe pia wanafunga kila mara, hayo ni masuala ya ndani ya kanisa na hayawezi kutumika kuwatishia watu wa dini nyingine.
 
Mapungufu ya kimantik katika Andiko lako Ndg yangu Mayala
1.Kuamini Membe (R.I.P)alipuuza ulichomshauri kuhusu Hawa TEC na kikamkuta kilichomkuta. Imani hii ni potofu na kuaminisha Umma kwamba TEC wakisema lazima kiwe hivyo.
2. Kutuaminisha Kila atakayekuwa Rais mkristu basi atakuwa mkatoliki Kwa mifano yako uliyotoa, hizi ni hesabu za probability haiwezi kujustify kuwa TEC wanakuwa na kiburi Kwa Maoni yao

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo bakwata wanakubaliana na huo mkataba wa bandari jinsi ulivyo?
Kanisa wamepinga kwasababu ya udini, period! just as to what Bakwata should do!
Siyo kwamba wewe ndio unatafsiri udini hata kwa vitu ambavyo siyo! Ukiona mwizi mkristo akiiba wewe kama muislam ukasema mwizi huyo itakuwa umesema hivyo sababu ya udini au sababu unajua wizi ni mbaya?
 
Mayala k
mayala kwa lugha ya kwetu wasukuma ni NJAA sasa inawezekana mayala una njaa ya uteuzi baada ya ku mu-indoose mwenda zake na hukuambulia kitu, muda utaongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…