Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

Sasa Kama kwenye hatua ya mwanzo ambapo ndio msingi wa mikataba inayokuja kuna ujanjaujanja na maswali mengi unafikiri iyo hatua inayofuata kunakua na mabadiliko gani
Makelele yamepigwa sana Serikali haiwezi kuambulia patupu lazma itakuwa makini sana embu tuipe Serikali nafasi yake tuone itakuwaje tusiwe na fikra hasi
 
Pasco Umetauliwaa kuwa Balozi wa Brainless kuanzia leo mpaka kiamaa..!![emoji3][emoji3][emoji3] Maana kila.siku unatafuta cheo hupewiii ngoja tukupee
 
Makelele yamepigwa sana Serikali haiwezi kuambulia patupu lazma itakuwa makini sana embu tuipe Serikali nafasi yake tuone itakuwaje tusiwe na fikra hasi
Yani shida ni Helaa walizokulaaaaa aisee Waarabu watananiliuu mtuuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama Bunge lingefanya Kazi yake kikamilifu katu tusingefika hatua tuliofika sasa ambayo ni ya hatari sana. Dude limeisha amshwa bado yataibuka makundi mengi ya kijamii yatakayo pinga hadharani.

Msingi wa yote ni kuwa, Bandari kama ilivyo ardhi ni mali ya umma wa watanzania, ni lazima tukubaliane kabla ya kuigawa kwa wageni iwe kwa ubia au kuuzwa.

Maamuzi ya awali ya kuipa TICTS hayakuwa sahihi kama ilivyo DPW hivyo watu wanaona na sasa hawatakaa kimya.

Taasisi za kidini ni wadau kwenye siasa hivyo ni halali kabisa kupaaza sauti pale wanapoona katiba ya nchi ikivunjwa wazi wazi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wakaenda mpaka dubaii watapingaje sasaa...???
 
Ushahidi upp wee Huoni Harmonize anajenga mjengoo wake wa maana mkuu
Dah sasa mkuu harmonize na bandari wapi na wapi mkuu hujui kama dogo anapiga show nyingi nje na hapa bongo anatumiwa sana kwenye matangazo ya biashara so dogo anavuta mpunga mwingi

Kuusu watu kula Hela za hongo kutoka Dubai hakuna ushahidi wawazi nakama ungekuwepo lazma tungewapa akina Mwabukusi wengine
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wakaenda mpaka dubaii watapingaje sasaa...???
Tatizo letu kubwa ni kuchukulia kila kitu cha kisiasa kimzaha mzaha hadi kuingiza ushabiki wa Yanga na Simba kwenye mambo yanayohusu uhai wa watu.

Siasa inagusa maisha ya watu na mali zao moja kwa moja, kuruhusu usanii kujivinjari humo ni kukaribisha migogoro.
 
Kuwa Padre au askofu hakukuondolei uananchi wako. Kwa hiyo TEC wametoa waraka huo siyo kwa sababu ya udini wao bali kwa uananchi wao. Kidogo kidogo tutaelewana tu.
 
Ilipojaribu uliposema bunge ni wawakilishi wa wananchi!Sijui wananchi wepi kwa uchaguzi wa 2020 ambao uligubikwa na mauzauza ya kutisha mpaka mzee Magu aliwaonya wabunge kwamba pasipo yeye hakuna ambaye angeweza kuwa mbunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…