Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

Hakuna kingine wanaogopa influence ya mwarabu, wanajua uislam ulifika Tanganyika kupitia mwarabu, bila ujio wa mwarabu pasingekua na uislam, wanajua mwarabu ana pesa, pesa zitaleta miradi Kama shule na hospital ambazo wao wametumia kuvuna waamini
Wakatoliki hawana sababu ya kuogopa Arab influence, Ikulu ya Magogoni is Arabic structure, Ikulu ya Chamwino is a replica of Magogoni, the Arabic influence is embedded in the design. Zanzibar is Afro Arabic nation, Mama mwenyewe ni one of them, hivyo Wakatoliki hawana sababu ya kuogopa au kuhofia, they are here to stay!.
P
 
Jee hiki kinachofanywa na TEC is it right?, be honest!, na kulisoma tamko hili mimbarini na madhabahuni, is it right?.
P
Kiko vizuri
Kwani kuwajuza waumini waraka wa viongozi wao ni kosa
Na kwa nini ulitazame suala la bandari katika upande wa kidini
Huu mkataba hatuutaki
Msitulazimishe
Kama una maslah wananchi wangeupokea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Ngoja niuseme tu ukweli, ni wachache sana wanaozielewa post za huyu Mzee! Wengi wa wachangiaji wanadhani jamaa anaponda Waraka wa TEC kumbe sivyo! Anaongea wa mipurizo sana sana lakini lengo kuu la Mada lipo pale alipomalizia! Ushauri kwa Mama!
 
1. Unajivunjia heshima, sidhani kama hiyo itakusaidia uteuzi. Jaribu !
Mtu anayetafuta uteuzi, angeweza kuwa objective kama mimi nilivyo?. Wenye uwezo wa kusoma in between the lines, wanajua what I stand for!. Mimi sio chawa!.
2. Nani aliwachagua the so called wabunge?
Walichaguliwa kwenye uchaguzi mkuu, licha ya dosari ndogo ndogo, uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, TV Program Alert: Msidanywe na Wanasiasa Kuhusu Uchaguzi Mkuu: Ulikuwa Huru na wa Haki!. Shuhudia!
3. Tena unatukana unawaita TEC the hell!
Hizi ni lugha za mtandaoni, heaven and hell zimeumbwa na Mungu, kama alivyo shetani na malaika, they are Gods creation, na kuna wengi wamesoma tuu Ufunuo wa Yohana juu juu lakini hawajui kuwa 666 tayari yuko ndani ya nyumba!. Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
P
 
Sijasoma bandiko lako ila naomba kuuliza, hivi hili la bandari ni la kisiasa!? Kwahiyo tusiokuwa wanasiasa hatupaswi kuipigania bandari yetu? Tuna safari ndefu mno na huenda tusifike.
 
Mr. Pascal Mayala nilikuwa nakuheshimu sana. Enzi hizo ulikuwa mtu wa kutoa pointi. Siku hizi kila mada unayotoa ni utumbo mtupu. Pata muda wa mapumziko recgarge your batteries utakuwa salama kiafya. Too much stress is dangerous.
 
Wakusanyikapo tai ndipo penye mzoga. Maaskofu wasingeanza kujiandikia tu waraka. Pia ujue wajibu wao ni kuwalea wanaowaongoza Kimwili na Kiroho kwahiyo wanatimiza wajibu wao. Hawajaishurutisha serikali, Bali wamehitimisha kwamba wanamwomba Mh. Rais kwa Busara yake na kama mtu mwenye kauli ya mwisho kuwasikiliza Wananchi. Hapa niongezee Kuna watu wanasema wananchi wamekubali mkataba, ebu zipigwe kura za wazi za kukataa au kukubali Mkataba muone, mtaaibika.
 
Vyeo hivi
Vinawafanya watu wajifyatue akili[emoji23]

Anapambana weee lakini wapi!
Hapati.


Rasmi sasa anakwenda kujiingiza kundi la wapumbavu.
 
Kuchanganya dini na siasa maana yake nini?
Kazi ya siasa ni kutawala nchi, na kutafuta ufalme wa duniani, kazi ya dini ni kupeleka watu mbinguni na kutafuta ufalme wa mbingu, siasa inafanywa majukwaani, na wanasiasa, dini inahubiriwa mimbarini na madhabahuni na viongozi wa dini. Kitendo cha viongozi wa dini kuhubiri siasa na kutumia mimbarini na madhabahuni kusubiri siasa ni kuchanganya dini na siasa!
Unataka kuacha rasilimali za watanganyika zichezewe, kwasababu wale wenye nafasi ya kuzilinda ambao ndio huyo Kaisari wako aliyepewa rushwa asikemewe?
Don't assume and insinuate!, you have to prove!. Niliwahi kushauri humu Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
Kwanini hamtaki TEC watoe maoni yao kama ambavyo wengine wote wamekuwa wakiyatoa bila kujali nafasi zao?
Sio hatutaki, TEC wako huru kutoa maoni yao yoyote, lakini TEC haina mamlaka ya kuwatolea maoni Wakatoliki wote bila kuwauliza!. Kazi ya viongozi wa kanisa is kutuongoza kufika mbinguni kwa Baba yetu, inapotokea viongozi wetu wa kanisa wanatoa matamko ya kisiasa, watushirikishe, watuulize, na pia kutumia mimbarini na madhabahuni kutolea matamko ya kisiasa ni matumizi mabaya ya patakatifu petu!.
Hiki ulicholeta hapa hakitakiwi kutiliwa maanani na wote wanaojilewa, umeandika unafiki na kujipendekeza kwa hali ya juu sana, tena bahati mbaya ukiwa wa kiume!, kwa sababu siku hizi unajulikana umekuwa mtu wa aina gani.
Duh...!.
P
 
Sii wengi wanauwezo wa kusoma in between the lines, hili neno "Vox Populi is Vox Dei" ni neno kubwa sana!. Wabamtisha Mama kuwa wao ni watumishi wa Mungu na hili tamko ni tamko la Mungu kutokea kwenye Vox Populi!.
P
 
Catholic Tanzania ni unique specie,Wana islamophobia ya hatari
 
Hakuna kingine wanaogopa influence ya mwarabu, wanajua uislam ulifika Tanganyika kupitia mwarabu, bila ujio wa mwarabu pasingekua na uislam, wanajua mwarabu ana pesa, pesa zitaleta miradi Kama shule na hospital ambazo wao wametumia kuvuna waamini
Kuna dhehebu lililotoa mchango mkubwa kwenye elimu kama Katoliki? Unaongea nini wewe? Mwarabu mwenyewe chuo cha MUM ameshindwa kukiendesha kinapumulia mashine pale Morogoro!
 
Kuna dhehebu lililotoa mchango mkubwa kwenye elimu kama Katoliki? Unaongea nini wewe? Mwarabu mwenyewe chuo cha MUM ameshindwa kukiendesha kinapumulia mashine pale Morogoro!
Elimu na hospital zilikua chambo Cha kuvua waumini,siku hizi biashara,wakipewa pesa na mkoloni mpaka serikali huru,kumbuka mkoloni alichukua Kodi kwa wote, waislam Wana uwezo wa kujenga hizo taasisi na watu wakapata huduma bure
 
Bunge lilivunja katiba kwa kupitisha mkataba ule wa kuipa DP world bandari zote za Tanganyika. Kama Bunge linavunja katiba kwa makusudi nani atawasemea watanzania kama sio taasisi za kidini?
 
Paskali ana akili nyingi, maamuma kumuelewa watachukua siku nyingi
 
Ccm inacheza mchezo wa wagawe watawale, hii mbinu wanayoitumia kuzima huu mjadala ni haramu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…