Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

hili ni miongoni mwa maandiko ya hovyo kabisa kutokea hapa JF
 
Ukishatoa mfano wa mtu aliye na msaidizi mzungu tena kwa kazi ya nchi unatakiwa utuambie urai wa huyo mzungu. Maaelezo yako yote yamekosa uhalali, mzungu na mwarabu kwenye mambo ya Utanzania.
 
Mayala kuna hoja inazijua ila unakwepa kusema inachokijua.Ni kweli hufahamu kwamba Mahakama ya Kadhi ilipingwa na ikafa kwa sababu waislamu walioitaka walitaka iendeshwe na serikali? Yaani watanzania tulipe Kodi halafu tulipie gharama mahakama ya kikundi Cha watu?
Kingine Mayala ambacho husemi ni kuwa Waislamu wenyewe hawakuitaka.Waislamu hawa wazinzi,wafiraji na wala kitimoto nani angetataka kupelekwa kwenye hiyo mahakama ya kupiga mawe watu hadi kufa au kukatwa mikono.Thubutu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…