Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?


hakunaga mkatoliki anayekejeli wapakwa mafuta, sema ulikuwa mkatoliki ukahasi sasa ni CCM
 
Mkataba alio saini Samia timeuona na timeuelewa pengine kutokana na msaada wa maendeleo ya technology. Tuwekee walau copy moja ya mkataba wa aibu aliosaini mmoja ya Marais ulio wataja. Usilete blaa blaa katika mambo ya msingi. TEC wametoa maoni yao tu, uamuzi upo mikononi mwa Samia na serikali yako.
Naomba nikuulize Pascal, Siasa ni nini? Mpaka wa TEC na siasa, maendeleo ya kiuchumi na kijamii umechorwa wapi?
 
Na pia ni wanachi watanzania wenye uhuru wa kutoa maoni kama jinsi ilivyo kwa raia wengine.
Baraza la maaskovu haliruhisiwi kutoa kauli (matako) ya kukemea au kuipinga uonevu,unyonyaji na ukandamizaji? Kanisa pia lina kazi ya kutetea haki za wananchi kwa kupaaza sauti linapoona haki zao zinakanyagwa na serikali.
 
Read your bible carefully
 
Papa ni mkuu wa Kanisa Katoliki duniani

Papa ni mkuu wa nchi ya Vatican

Maaskofu wanaounda TEC ni Wateule wa Baba Mtakatifu

Jitahidi tu uelewe!
 
Nimekumbuka Theology of Liberation by Gustavo Gutierez
 
Magufuli asingeuza bandari, automatically asingepingwa.

Mama hapingwi kwa sababu ya dini wala uwekezaji, bali vipengele vya kimangungo vya mkataba.

Tusichanganye mambo.
 
TEC wamesimamia ukweli.watanzania waliowengi hawautaki huu mkataba kwa sababu unavipengele tata.Amri kumi za Mungu mojawapo ni kutokushuhudia UONGO unaofanywa na serikali kuhusu uwekezaji tata wa bandari.miaka ya tisini watu walipinga mikataba ya madini lakini serikali wakalazimisha matokeo yake ni Nchi kunufaisha wawekezaji huku wazawa wakipata sifuri.Hivyohivyo Gesi ya mtwara watu wema waliupinga lakini serikali ikalazimisha na wabungwe wakaamuliwa wapitishe kwa hati ya dharura matokeo yake gesi imeenda na maji na wazawa hakuna tunachofaidika.Serikali wamezidi UONGO
 
ajabu kubwa sana na sasa wataibuka waislamu na dini zingine waunge mkono ndio itakuwaje?
 
Serikali inapenda kuwatumia viongozi wa dini kwa maslahi ya kisiasa, kutwa kucha mara sijui rais anakutana na hawa au wale.

Sasa pindi wakitoa maoni tofauti tusikasirike. Kwasababu tumeamua kuendekeza dini kwenye shughuli za serikali.
 
Kwani hoja zao za zipoje? Tunaweza kuzijibu kwa lengo la kubapance story au kuondoa doubt walizoziibua.
 
Hili lipo wazi Magufuli asingeleta MKATABA KAMA HUU na ndio maana alitunga Sheria kuzuia kitu Cha namna hii kisitokee,lakini Hawa wanaenda kuzibadili ili waturudishe kulekule kwa mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…