Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

....who the hell is TEC ikatae DPW?
Kuna uzi uliuleta ukimshauri Ndugu mmoja awasikilize viongozi wa dini waliomshauri abadili uamuzi wake. Yeye aligoma...yaliyofuata ni historia.

Leo umeamua kuwafananisha viongozi hawa na jehanamu! Kisa maamuzi ya viongozi wa serikali waliyochukua ama kufanya sirini !

Mimi nasema, sijari/li paka ni mweusi ama mweupe kikubwa akamate panya tu!
 
Dini bila siasa ni sawa na ndege asiye na mabawa. Mimi siyo mkatoliki. Hongereni sana TEC
 
Umesoma hilo tamko au umewahi kulipinga?
Unapoongelea habari za kuchanganya dini na siasa, viongozi wa dini ndiyo wakezi wa jamii yenu na viongozi wenu, mbona haukuwahi kusema viongozi wa serikali wasiwe na dini? Mbona haukuwahi kusema viongozi wanapoapishwa wote waape kwa Katiba badala ya misahafu?
Maaskofu walimpinga Magufuli kwenye mambo mbalimbali, kila mtu ni shahidi katika hilo, labda kama enzi hizo wewe ulikua ukimuangalia Pengo kama ndiye mbeba msimamo wa Maaskofu.

Unajifanyi hauwaoni Maaskofu wa CCM wanaosimama kwenye Majukwaa ya siasa wakitoka hapo wanarudi kuhubiri Madhabahuni?

Go do your home work buddie, badala ya kukimbilia kupigania kuishusha legacy yako kubwa.
 
Hakuna kingine wanaogopa influence ya mwarabu,wanajua uislam ulifika Tanganyika kupitia mwarabu,bila ujio wa mwarabu pasingekua na uislam,wanajua mwarabu ana pesa,pesa zitaleta miradi Kama shule na hospital ambazo wao wametumia kuvuna waamini
Hakuna nchi zenye waislamu wengi ambazo zina umaskini uliokithiri?
 
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Swali zuri sana hili....


Hivi kipindi kile KKKT wametoa ule waraka na JPM kuwapuuza hadharani, hawa TEC nao walitoa na wakwao ?......je ulipishana na wa wenzao ?

Hata hao TEC ni Watanzania sio vibaya wakitoa maoni yao.

Bongo bhana......full of surprises.

zitto junior Bams JokaKuu
Nguruvi3
 
Eneo lote la Tanganyika ni ardhi ya Mungu na Watanganyika wameumbwa kwa mfano wa Mungu na maasikofu wanatetea ardhi ya Mungu isimilikishwe kwa warabu sabu ardhi iyo tumepewa na Mungu kwa makusudio yake
 

Pamoja na kazi ya kiroho, kazi ya dini ni kuangalia ustawi, haki, uadilifu kwa jamii husika.

TEC wako sawa 100%, kama walivyomgomea Magufuli kuhusu kuvaa barakoa.
 
Mathayo 27 : 19 Alipokuwa ameketi kwenye kiti cha hukumu, mke wake alimpelekea ujumbe, “Usijihusishe katika kesi ya huyu mtu asiye na hatia. Leo nimehangaika sana katika ndoto kwa ajili yake.”

.... huyo ni mwanamke tena mke wa mwanasiasa alikuwa anamtetea Bwana Yesu asiuawe.

Pascal Mayalla wewe ni wa kushangaa kanisa kukemea maovu ?

Ulitaka nini?
 
Umewaona TEC tu ila Bakwata kupitia Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam hujamsikia na matamko ya kumlaani Dr. Slaa na Wakili Mwabukusi? Pasco unazi wako kwa CCM unakushushia sana hadhi yako.
 
Umechelewa pesa ya hongo aliyotoa mwarabu imeishaliwa labda kama usubiria muujiza wa uteuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…