Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Edit haraka, umeandika matusi.Baraza la maaskovu haliruhisiwi kutoa kauli (matako) ya kukemea au kuipinga uonevu,unyonyaji na ukandamizaji? Kanisa pia lina kazi ya kutetea haki za wananchi kwa kupaaza sauti linapoona haki zao zinakanyagwa na serikali.
mwongo mjinga husahau haraka,Mbona Maghufuli walimpinga au hauna kumbukumbu ?!
Huyo ni mpumbavu anaetetea tumbo lake apate vikazi vya serikali,ogopa mtu anaevaa makoti oversize hawezi kua timamuKuchanganya dini na siasa maana yake nini?
Kwanini hamtaki TEC watoe maoni yao kama ambavyo wengine wote wamekuwa wakiyatoa bila kujali nafasi zao?
Wewe mtu kweli unazidi kuwa mjinga, unapotumia hoja ya kusema angekuwa ni Magufuli ameileta DPW ingekuwaje?
Mbona hukusema neno wakati TEC walipomshutumu Magufuli na serikali yake kwa kuminya hali za binadamu, na uhuru wa vyombo vya habari? au unataka mpaka Magufuli nae atoe bure bandari zetu?
Hakutoa ndio maana wakakaa kimya, lakini alipokosea, walimpinga.
Hiki ulicholeta hapa hakitakiwi kutiliwa maanani na wote wanaojilewa, umeandika unafiki na kujipendekeza kwa hali ya juu sana, tena bahati mbaya ukiwa wa kiume!, kwa sababu siku hizi unajulikana umekuwa mtu wa aina gani.
Kwa hiyo unataka kutuambia nini?Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.
Paskali
Roma Locuta, Causa Finita Est.Wanabodi,

Who the hell is TEC?Wanabodi,

Ukishakuwa Ccm huna ruhusa ya kutumia akili wala ubongo hauna kazi.Kwa hiyo unataka kutuambia nini?
Pasco arudi ktk historia ajiulizwe asili ya siasa ilikoanzia,
Kamwe huwezi kuwatenga watumishi wa Mungu na maisha ya waumini yanayotegemea siasa!!!
Nani akemee RUSHWA na UOVU!!!
Utasema lugha zote..una laana wewe huji teuliwa hata ujumbe wa nyumba kumi...jipendekeze uwezavyo ...Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.
Paskali
Haijalishi wanachanganya ama la kikubwa hoja yao isikilizwe!! NB: Hata shujaa alidili san na siasa mpaka makanisani!! Acha upotoshaji!!!Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.
Paskali
Chawa pro maxPascal siyo kwamba hajui sema usukuma unampelekesha hovyo
Dini na siasa unazitenga vipi? Yohana mbatizaji alimkemea mtawala Herode kwa uovu wa kumuona mke wa kaka yake, Yohana kakatwa kichwa, SWALI: Yohana kukemea uovu ( Marko 6:18) alichanganya dini na siasa? Daniel alikataa amri haramu ya utawala wa Darius wa kuabudu sanamu ( Daniel 6:13)akatupwa kwenye shimo la Simba, je tiini mamlaka ni Kwa njia hii haramu? Kwa upande wa Waislamu, Mtume Muhammad alipigana vita vingi, 1. Vita vya Badr, 2. Uhud, 3. Khandak, 4. Hunayn, je, alichanganya dini na siasa? Kwa kifupi dini na siasa unazitenga vipi?Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.
Paskali
Haya maneno ulitakiwa kuyasema pia kumpinga Mtume Muhammad alipopigana vita vya Badr, Uhud, Khandak na Hunayn kama alikuwa akipinga utawala. Viongozi wa dini wanapokemea uovu/maovu, ni jukumu lao.Hawa watu Huwa wanaleta shida sana pindi Kiongozi akiwa sio wa upande wao.
Naona uteuzi maridhawa sasa kufuataWanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, CCM ndio chama cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.
Paskali
A verWanabodi,

A very good timing!!! Lazima utalamba uteuziWanabodi,

Si kweli. Hayo maneno huwa mnayaongea tu. Unakumbuka Ujumbe wa Kwaresma 2020 kipindi cha Magufuli? Katoliki si waramba miguu.Hawa watu Huwa wanaleta shida sana pindi Kiongozi akiwa sio wa upande wao.