mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Umenena ukweliKuna siku mpenzi wangu alikuwa ananiambia kwa hasira namna ex wake anavyomzushia mambo ya uongo..
Akasema atamfuata huko huko akamzingue ili ashike adabu yake..
Nilitafakari nikasema hapana. Ukienda huko lazima mkulane.
Nishawahi kuliwa na ex niliyemfuata kwa shari katika mazingira ya kutatanisha!
Hizi mambo zipo...
Kunavitu unavijua baada ya kufanyikaHongera kwa kuwa na Moyo wa kumwamini mbwa mwitu na swala wakakaa pamoja ukitegemea uwepo wa Amani
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa wanagombanaWaliingia ndani kufanya nini? Dada alionyeshwa kabati limejaa noti za Dolari
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi ni hatari kuliko sumuMapenz yatakuja kuwauweni vijana maumivu ujapigwa
KuyamalizaWaliingia ndani kufanya nini? Dada alionyeshwa kabati limejaa noti za Dolari
Sent using Jamii Forums mobile app