Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii itakuwa kweli ilitokea.Shenzi zako hata mtoto wa awali hawezi kukubali uongo wako kwendraa
Haijatulia hii Sesten.Waionaje hii Hajar imetulia kweli?
Ndio Sesten. 😂😂
Pole sana kwa kupaliwa Sesten.Umefanya hadi nimepaliwa na maji kwa kucheka Hajar
Hivo wala hamumuonei huruma na kumpa pole?😀😀😀
Kabisaaaa au anaenda kwa Mangi kuwasubiria wapeane makavu. [emoji23] [emoji23]Halafu yeye anasogea pembeni au anatoka nje ya geto lake anawaacha wapeane makavu
Jamaa akimaliza anatoka ndani anamwambia nipishe nipite wewe, yeye anampisha X sijui Y aondoke kisha mwenyewe anamkimbilia huyo demu wake chumbani na kumwambia "Pole mpenzi wangu jamaa kakuumiza eeh?" maanina vinatia hasira vitu vingine
Hahaaaaa. Na kwelli sababu ni tukio la kimya kimya ni dhahiri aliridhia huyo mwanamkw.Maana angebakwa angepiga kelele kutaka msaada lakini yaonekana alikua anatoa ushirikiano wa viuno uliotukuka
Na hata alipokuja kwa jamaa hakusema kama kabakwa alimwambia katoka kutiwa
Dharau ya kiwango cha Stigilaz Goujje
Sasa kama kampa naniliu kuna ugomvi tena hapo Sesten?
Cheka tu Mbalizi.Duuh
Nimecheka sana
Simlaum mleta mada ila nyie wanawake hamfai,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi unapata nguvu gani ya kumsindikiza mpenzi wako kwa ex wake eti akampe makavu makavu yapi kuna wanaume wapole sijui kama mleta mada yaani hata sijui nimuweke kundi gani
Mungu Apitishe Hili Mbali Nami......Lakini Najiuliza Mwenyewe Hapa Hivi Mpenzi Wangu Aweza Nifanyia Hivi Kweli?Haijatulia hii Sesten.
Nawaza kwa sauti ungekuwa weye halafu ndio unaambiwa hiyo kitu ungefanyaje hapo?
Dah! ama kweli pole yake aisee😀😀😀Pole sana kwa kupaliwa Sesten.
Kiukweli kabisa hapo huruma inakujaje jamaani. Hahaaa.
Huu ni uzwazwa uliothibitishwa na TBS😀😀😀Kabisaaaa au anaenda kwa Mangi kuwasubiria wapeane makavu. [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa. Nimecheka jamaani lol.
Angetaka huruma angesema angalau kwa kudanganya kua kabakwa lakini anajua jamaa pengine angeenda kuuliza akaambiwa mbona pichu kaivua mwenyeweHahaaaaa. Na kwelli sababu ni tukio la kimya kimya ni dhahiri aliridhia huyo mwanamkw.
Ndio alivyosema [emoji85] na hiyo ni kuonyesha hana hofu nae. Au ndio alitaka huruma?
Hapo kweli hakuna ugomvi HajarSasa kama kampa naniliu kuna ugomvi tena hapo Sesten?
Hii siku sitaisahau. Yani mpenzi wangu alikuwa anasumbuliwa sana na x wake eti warudiane. Hii ilimkasirisha sana mpenzi wangu na aliniomba aende akampe makavu x wake. Kwakweli nilimpenda na kumuamini sana huyu msichana kwa misimamo yake. Sasa ikabidi msichana amwambie anamfata na akaniomba nimpeleke. Kweli nilimsindikiza na kufika kwa Jamaa msichana alimuwakia sana. Kwamba hamtaki na amuache hivyo aendelee na maisha yake. Kwakweli ugamvi ulikuwa mkubwa mara wakaingia ndani. Walikaa mda kidogo mimi namsubiri kwenye gari. Baada ya kutoka anakuja huku analia nikamuuliza vipi umepigwa? Akaniambia hapana ila Jamaa kanitia sijui imekuaje paka kanitia tena. Kwakweli nimeumia na haya maumivu ni makuu. Hata sijui nifanyaje.