Mpenzi aliye "busy" siku zote

Kuna mdada niliingia nae kwenye mahusiano mwezi uliopita, akaniambia katoka kutendwa siku si nyingi na mzazi mwenzie hivyo haitaji mahusiano tena, nikamwambia wacha nikushawishi utanielewa tu. Ilikuwa ni tabu, nisipomtafuta yeye hana time ya kunitafuta, nikimtafuta ananiomba na pesa bila hiyana namtumia. Nilipoona imekuwa tabu, nikafuta namba yake tu kwa amani nikamuelewa alichonambia mwanzoni.

Iko tofauti kidogo na stori yako ila Dhima ni ile ile. Hapo dada unapoteza muda.
 
Haa ha... mkuu yani wewe ukitafutwa ni kuombwa pesaa tuu na unatoa???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Looooqh'..!!
Ni nini kutucharua hivyo jamani.!!😂
Sema hiyo micharuo imenirejeshea akili zangu zoooote.!!
 
Du!! Hii kitu inanitesa sana me mpaka nishatoa na posa na hata mahari tushapanga lakin, huyu dada sasa kila mda yeye hatak pokea sim wala kujibu sms, mpaka unapiga kwa mama ake ndio unaongea naye,

Na ukimuuliza asema yupo busy, na anadai skubizi hapendi tumia smu,,, chakufurahisha hataki nmtumie hata hela za matumizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…