Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,040
- 2,806
Maisha ya leo kuna too much darkness. Sasa mkuu unawaza kulipiza kisasi kwa ajili ya amani ya moyo unafikiri utaipata. Deep down wako waliofanya kama wewe lakini kwenye sakafu ya moyo huacha kidonda.
Mahusiano ya kimapenzi sio vita jameni. Kuna masomo ambayo huwa tunayapitia lakini yasiwe kikwazo au chachu ya sisi kuwa na roho mbaya au kuondoa complex ya upendo katika mioyo yetu.
Tatizo letu huwa tunaona mapenzi is everything lakini si kweli. Kuna mengi sana ya kuenjoy katika maisha haya. Binafsi sina ex ambae namchukia kwa sababu they were not sources of my happiness. It begins with you generate furaha ya maisha kutoka ndani yako then hakuna kitu utawahi shindwa. Cheer your life niggah!!!