Mpenzi aliyenisaliti amerudi, nawaza nimfanye nini?

Usi
ili naliwaza kwa asilimia 90%, ila target za kumtia mimba ndio kisanga maana, maana si unajua mwanamke kama ajaamua kuzaa ni hajaamua tu, otherwise mnipe technic ya kufanya ivyo wana bodi
Usimpe Mimba ndugu ukimpa mtt atawakutanisha kwa lazma au kwa hiari au mwnmke atamtumia mtt kama ngao ya kuwa karib na ww. Apo mrudie kwa umakin muonyeshe upendo akiwa kilelen mwa upendo mpige chini

NB:co kilelen Kwny ngono
 
mkuu hapa nimekuelewa vizuri kabisa yaani
 
Habari wana bodi,

Niende moja kwa moja kwenye maada tajwa hapo juu, ni miezi takribani 3 tangu aliyekuwa mpenzi wangu (x-girlfriend) aliponiacha kwa kunitamka kuwa "kuanzia leo mimi na wewe basi" alipo nitamkia sentence iyo tu tangu siku iyo hakuwai kuona sms wala calling yangu, nilifuta taarifa zake zote kwenye kitarakilishi changu (computer na simu) sikutaka kabisa kumsikia ila moyoni nilikuwa na maumivu yaliokuwa ykiwaka moto mzito,

Hatimaye amemtafuta mtu wangu wa karibu na kuomba kuonana na mimi ili tuongee, lakini main pont yake kuu ni kutafuta suluhu kwa kilicho tokea katikati yetu (usaliti alionifanyia), uyu binti aliniachia maumivu makali sana wana JF, nilimpenda na kumthamini sana kwa kila kitu ila aliamua kwenda.

Wakuu, huyu binti napanga siku ya kuonana nae nifanye nini (niongee nae nini, nimpangeje ili baadae nije kumpiga tukio zito), maana nahisi moyo wangu una hasira na chuki juu yake kama mbogo, ila sizionyeshi kwake waziwazi, nataka nimpitishe kwenye ziwa la miiba ili atakae kuja kumuoa uyu binti basi binti awe na adabu na heshima.

NINI NATAKA KUTOKA KWENU:

Hyu binti nataka nimuweke kwenye mazingira ambayo afurahi kuwa na mimi uku nikimuandalia tukio lake la surprise.

Natamani nipate experince kwenye issue ya X wako kurudi ulimpa adhabu gani kuu, ambayo atokuja kuisahau (sio kumdhuru kimwili noo).

Najua watakakuja watu hapa na kusema samehe na sahau, No ilo nalijua

Mkuu kuna msemo naomba nikukumbushe tu unaosema kuwa kama aliweza kukuacha mara ya kwanza nakuondoka kitu gani kitakuaminisha kua asiweze kukuacha mara ya pili kumbuka a real one wont leave
 
Habari wana bodi,

Niende moja kwa moja kwenye maada tajwa hapo juu, ni miezi takribani 3 tangu aliyekuwa mpenzi wangu (x-girlfriend) aliponiacha kwa kunitamka kuwa "kuanzia leo mimi na wewe basi" alipo nitamkia sentence iyo tu tangu siku iyo hakuwai kuona sms wala calling yangu, nilifuta taarifa zake zote kwenye kitarakilishi changu (computer na simu) sikutaka kabisa kumsikia ila moyoni nilikuwa na maumivu yaliokuwa ykiwaka moto mzito,

Hatimaye amemtafuta mtu wangu wa karibu na kuomba kuonana na mimi ili tuongee, lakini main pont yake kuu ni kutafuta suluhu kwa kilicho tokea katikati yetu (usaliti alionifanyia), uyu binti aliniachia maumivu makali sana wana JF, nilimpenda na kumthamini sana kwa kila kitu ila aliamua kwenda.

Wakuu, huyu binti napanga siku ya kuonana nae nifanye nini (niongee nae nini, nimpangeje ili baadae nije kumpiga tukio zito), maana nahisi moyo wangu una hasira na chuki juu yake kama mbogo, ila sizionyeshi kwake waziwazi, nataka nimpitishe kwenye ziwa la miiba ili atakae kuja kumuoa uyu binti basi binti awe na adabu na heshima.

NINI NATAKA KUTOKA KWENU:

Hyu binti nataka nimuweke kwenye mazingira ambayo afurahi kuwa na mimi uku nikimuandalia tukio lake la surprise.

Natamani nipate experince kwenye issue ya X wako kurudi ulimpa adhabu gani kuu, ambayo atokuja kuisahau (sio kumdhuru kimwili noo).

Najua watakakuja watu hapa na kusema samehe na sahau, No ilo nalijua
Ziwa la miiba
 
kama uko serious ni pm contact zake nitamfundisha asirudie tena.
 
Ni kama maelezo yako yananichanganya; BADO unampenda? Kama ndio then msameheme na muendelee mbele but kama moyoni mwako aliishatoka, unataka ukutane nae wa nini? Achana nae ili aje ampate atakae mpenda.
 
Back
Top Bottom