Mpenzi aliyenisaliti amerudi, nawaza nimfanye nini?

Mpe mapenzi tu ili umchezee na wewe, huyo hana sifa za kuwa mother house tena. Huyo ni wa kupiga tu, wala asijue km hutamuoa. chezea ukichoka piga chini.
 
Mpe mapenzi tu ili umchezee na wewe, huyo hana sifa za kuwa mother house tena. Huyo ni wa kupiga tu, wala asijue km hutamuoa. chezea ukichoka piga chini.
mkuu, umeongea kiume sana mkuu, nachukua wazo lako kwa mikono miwili mkuu.
 
Kisha ampige chini
ili naliwaza kwa asilimia 90%, ila target za kumtia mimba ndio kisanga maana, maana si unajua mwanamke kama ajaamua kuzaa ni hajaamua tu, otherwise mnipe technic ya kufanya ivyo wana bodi
 
Ukimpa ujauzito hata usipomuoa mtaunganishwa na kuwa wazazi wa mtoto wenu.
 
Aaah,ukimtia mimba utakuwa unajikomoa mwisho wa siku utakuja kumuoa sasa ni kumpiga afu ukifika mda wa kuoa unaoa mwingine
mkuu kwani kumtia mtu mimba ni lazma umuoe, wazo la kumtia uyu binti mimba ni awe na mtoto wangu tu, ila wazo kumuoa hapana kiukweli kabisa.
 
Kumpa mimba kiukweli utakuwa hujamkomoa,yaani imagine anaweza akazaliwa mtoto afu ukimwangalia unasema sikupendi we mtoto nilikuwa namkomoa tu mama yako,kama ni kisasi hutakiwi kuacha kumbukumbu yako tena mtoto?yaani kati ya vitu vya kuepuka ni hivo
Naomba unipe technic za kumpa ujauzito uyu binti, ayo mengine tutajua mbee ya safari ila sio kumuoa
 
Tafuta pesa wewe achana na mambo ya visasi...

Wewe hapo ulipo unajiona msafi sana?

Ni wangapi uliowakosea kwenye mambo mengine na yanayohitaji kisasi na wamekusamehe tu na kwenda zao?

Dunia inakuwa sio mahali salama pa kuishi kwa sababu ya watu wenye mioyo yenye chuki kama ninyi
 
nipe njia mkuu, namlipuaje uyu binti
 
Amerudi Ili akupige tukio lingine,
Shtuka bwana sadala
 
Mkuu kama hauna mipango nae fanya mishe nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…