Nahman
JF-Expert Member
- Oct 4, 2023
- 599
- 1,749
Kwisha habari yako!😂Kwaiyo sisi wafupi wenye hela zetu hamtutaki Unataka warefu wenzio ili mzae mangongoti? Eet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwisha habari yako!😂Kwaiyo sisi wafupi wenye hela zetu hamtutaki Unataka warefu wenzio ili mzae mangongoti? Eet
Mimi huwa sitoi michango ya harusi braza. Nitakuchangia kwenye ishu zingine lakini siyo harusi! 🙏🏿
Mpwa hebu changia ndoa hiyo😃Mimi huwa sitoi michango ya harusi braza. Nitakuchangia kwenye ishu zingine lakini siyo harusi! 🙏🏿
Natafuta mke
Hello there, I'm a 41-year-old man working in the education sector with a Master's degree and currently pursuing a PhD. I have an amazing 11-year-old son. I'm searching for a life partner aged 30-41, preferably with 0-2 kids and a stable income. Let's embark on this beautiful journey together.www.jamiiforums.com
Siku hizi umekuwa match maker? Fimbo zinakuhusu wallahi maana wakishindwa kuelewana huko lawama zote zitakurudia wewe uliyewamechisha. Bi keafu! 😁😁😁🏃🏿♂️Natafuta mwanamke wa kuoa
Habari naitwa flavian natafuta mke wa kuoa. Umri wangu nikati ya 36-39. Nimejiajiri, dini mkristu. Mke awe mwenye hofu ya Mungu, umri kuanzia 33 na kuendelea. Kwa mawasiliano zaidi PM au ni text kwa 0624942380. Nipo serious kwahili barikiwa sana kwa atakae jitokeza.www.jamiiforums.com
Kuchangia ndoa miyeyusho tu mpwa...Mpwa hebu changia ndoa hiyo😃
Naona usingiz umekata tu 😀Kuchangia ndoa miyeyusho tu mpwa...
Na saa 9 yote hii uko macho unafanya nini mpwa? Daktari hayupo ama? 😳😳😳
Mkuu unataka kuhalalisha kulala uchi mbele ya kadamnasi
😂😂😂Siku hizi umekuwa match maker? Fimbo zinakuhusu wallahi maana wakishindwa kuelewana huko lawama zote zitakurudia wewe uliyewamechisha. Bi keafu! 😁😁😁🏃🏿♂️
Mrukaji mwenyewe nani? Wewe? You are too good-hearted kuruka mtu sana sana utaanza tu kujieleza how good your intentions were in suggesting those matches, how bad you wanted them to succeed....etc etc 😁😁😁🏃🏿♂️😂😂😂
watanisamehe sababu wakigombana nitawaruka hawataamini kabisa..!!
😂😂😂😂Mrukaji mwenyewe nani? Wewe? You are too good-hearted kuruka mtu sana sana utaanza tu kujieleza how good your intentions were in suggesting those matches, how bad you wanted them to succeed....etc etc 😁😁😁🏃🏿♂️
Eeh mkuuMkuu unataka kuhalalisha kulala uchi mbele ya kadamnasi
Hutak kuchangia matatizoMimi huwa sitoi michango ya harusi braza. Nitakuchangia kwenye ishu zingine lakini siyo harusi! 🙏🏿
Eeh mkuu
Kama ilivyoandikwaa😁
Thank you for your good intentions 👏😂😂😂😂
and how did you know that..?? My intentions were purely genuine,
And you're so 'damnly' right, I love to see people happy in love..!!
Amen ahsante sana 🙏Mungu akupe hitaji la moyo wako , na akupe mume mwema ! Toka 2020 hope anakuandalia kitu chema na kizuri zaidi usikate tamaa !!