Mpenzi, Mume hapo baadaye anahitajika

Mpenzi, Mume hapo baadaye anahitajika

Kwenye hilo sina hata la kujitetea , ila tu mimi ni mrefu so muda hata wa kuhug or kiss itabidi upande kwenye meza[emoji22]

Kwaiyo kwako mapenzi ni kuhug na
Kukisiwa tu……..acha zako wewe watu tuna mijegeje ya kwenda pangoni oyooo ooyooo za kichwa za kichwaa warefu sio watam [emoji14]
 
Kwaiyo kwako mapenzi ni kuhug na
Kukisiwa tu……..acha zako wewe watu tuna mijegeje ya kwenda pangoni oyooo ooyooo za kichwa za kichwaa warefu sio watam [emoji14]
Sawa na mapenzi siyo mjegeje peke yake, unavyosema siyo watamu una ushahidi? Na uliiprove vipi?
 
ushauri kwa dada muolewaji. ungechanganya mbegu maana warefu wengi unakuta akili kisoda sasa wew mrefu hlf unataka mrefu mwenzio angalia msije kukuta dogo anazaliwa kajaa maji kichwani

wakuu mnishtue swali la traco likishajibiwa
 
Jijini Dar wanaume zaidi ya milioni mbili umekosa mtaani hadi uje kutafuta mtandaoni?

Tuache hayo je una sura nzuri, umbo je au nawe ni kama wanawake wengine wa jf sura za baba umbo la kenge.
 
Ahsante kwa ushauri ntazingatia ila pia swali la tako nilishalijibu huko juu labda nirudie tena sina hata 1, Nimebarikiwa moyo wa upendo tu
 
Jijini Dar wanaume zaidi ya milioni mbili umekosa mtaani hadi uje kutafuta mtandaoni?

Tuache hayo je una sura nzuri, umbo je au nawe ni kama wanawake wengine wa jf sura za baba umbo la kenge.
Kweli mimi umbo langu hata kenge ana nafuu, nna umbo la mamba kabisa
 
Wanawake wa Dar habari zenu tunazo, Kwanza ukisema hauna mtoto tunajua sio kwamba hujawahi kumpata ila tuu..........
 
Gave a shot about this one 3 years ago, didnt work out though situations have changed.

I pray you find the man of your desire.
 
Habari ya wakati huu!

Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.

Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu(muhimu sana kwani hata mimi ni mrefu)

Sifa zangu:
Mrefu, mkristo 31yrs,sijawahi kuolewa na sina mtoto bado, muajiriwa, naishi Dar.

Karibu pm kwa kufahamiana zaidi, kwa walio serious, kama haupo serious tafadhari..

Usiku mwema wote🙏
Asante
 
Back
Top Bottom