- Thread starter
- #81
AhsanteKila la heri mdada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhsanteKila la heri mdada.
Sawa nikikosa ntakuona1. Dar kubwa dada,
Kuna Kinondoni
Mwananyamala
Buguruni
Buza
River side.
2. Ukikosa mrefu mwenzio njoo inbox, tuna Jambo letu.
Urefu wa mwili woteUnataka urefu wa mjegeja au
Kwisha habari yako![emoji23]
Kwenye hilo sina hata la kujitetea , ila tu mimi ni mrefu so muda hata wa kuhug or kiss itabidi upande kwenye meza[emoji22]
Sawa na mapenzi siyo mjegeje peke yake, unavyosema siyo watamu una ushahidi? Na uliiprove vipi?Kwaiyo kwako mapenzi ni kuhug na
Kukisiwa tu……..acha zako wewe watu tuna mijegeje ya kwenda pangoni oyooo ooyooo za kichwa za kichwaa warefu sio watam [emoji14]
Thank you👏Kila la kheri...
Ahsante kwa ushauri ntazingatia ila pia swali la tako nilishalijibu huko juu labda nirudie tena sina hata 1, Nimebarikiwa moyo wa upendo tuushauri kwa dada muolewaji. ungechanganya mbegu maana warefu wengi unakuta akili kisoda sasa wew mrefu hlf unataka mrefu mwenzio angalia msije kukuta dogo anazaliwa kajaa maji kichwani
wakuu mnishtue swali la traco likishajibiwa
Kweli mimi umbo langu hata kenge ana nafuu, nna umbo la mamba kabisaJijini Dar wanaume zaidi ya milioni mbili umekosa mtaani hadi uje kutafuta mtandaoni?
Tuache hayo je una sura nzuri, umbo je au nawe ni kama wanawake wengine wa jf sura za baba umbo la kenge.
Naona kaamua kuja na ID nyingineYeyw ndio mchoraji hajaanza leo tunamjua
Thank youGave a shot about this one 3 years ago, didnt work out though situations have changed.
I pray you find the man of your desire.
🤣🤣🤣🤣🤣Sio poaUna miaka 32 still unataka mume wa baadae!? baadae wapi unataka uolewe mzee kikongwe
NashukuruUna miaka 32 still unataka mume wa baadae!? baadae wapi unataka uolewe mzee kikongwe
AsanteHabari ya wakati huu!
Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.
Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu(muhimu sana kwani hata mimi ni mrefu)
Sifa zangu:
Mrefu, mkristo 31yrs,sijawahi kuolewa na sina mtoto bado, muajiriwa, naishi Dar.
Karibu pm kwa kufahamiana zaidi, kwa walio serious, kama haupo serious tafadhari..
Usiku mwema wote🙏