Hakuna anaempa mwenzie faidaMke au mume
MeHakuna anaempa mwenzie faida
Namfahamu Kwa muda ingawa alinieleza Kuna kitu kilimpata alipoenda kijijini kwao aliamka siku moja akakuta amechanjwa chale basi mi nikachukulia rahisi maana hakuna gumu kwa yesu lkn namuona sasa matatizo yake hayaskii dawa wala maombi namuona sasa kama yeye ndo mzimu mwenyew typically....vp kilikupata kipi?background yake unaijua!!!????,,yasijekukuta yaliyonikuta coz story inaendana na yangu.
Chanzo alichajwa chale ndo matatizo yalipoanzia alianza na kupata ndoto mbaya then mikosi lkn alizembea hiyo ilikuwa 2019/2020 lkn amekuja kufunguka mwaka huuHio hasara kwake tu au hata kwa wengine pili kabla ya kuwa nae alikuwaje.
Angalia isije ikawa wewe
Oaneni, wacheni uzinzi na uasherati.Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye, kikosa ajira yeye. Kila siku ananipa habari mbaya nahisi ana mikosi na najikuta Mimi ndo naumizwa na matatizo yake nimejaribu kumpeleka kwa watumishi wa Mungu apate huduma lkn wapi!
Nimeomba na kufunga lakini wapi
Chanzo alichajwa chale ndo matatizo yalipoanzia alianza na kupata ndoto mbaya then mikosi lkn alizembea hiyo ilikuwa 2019/2020 lkn amekuja kufunguka mwaka huu jHio hasara kwake tu au hata kwa wengine pili kabla ya kuwa nae alikuwaje.
Angalia isije ikawa wewe
We ni pisi?
Ni ke mwenye huruma na ninatamani matatizo yake yaishe before sijajitenga nae Ili nisije kumuacha akasema nimekimbia matatizoWe ni pisi?
Piga chini huyo.Chanzo alichajwa chale ndo matatizo yalipoanzia alianza na kupata ndoto mbaya then mikosi lkn alizembea hiyo ilikuwa 2019/2020 lkn amekuja kufunguka mwaka huu j
Ni ke mwenye huruma na ninatamani matatizo yake yaishe before sijajitenga nae Ili nisije kumuacha akasema nimekimbia matatizo
Inawezekana kufunga na kuomba kwenye uzinzi?Oaneni, wacheni uzinzi na uasherati.
Ni muhitimu wa mwaka juzi bado napambana siunajua tena nchi yetu unataka upambane bila kungoja ajira na ninaogopa aisee na Mimi nisije Pata matatizoWe ni pisi?
We unaonaje?Inawezekana kufunga na kuomba kwenye uzinzi?