Mpenzi niliyenaye Kila siku ana matatizo, Kila siku anapata hasara

Taitu2024

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2024
Posts
244
Reaction score
295
Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye, kikosa ajira yeye. Kila siku ananipa habari mbaya nahisi ana mikosi na najikuta Mimi ndo naumizwa na matatizo yake nimejaribu kumpeleka kwa watumishi wa Mungu apate huduma lkn wapi!

Nimeomba na kufunga lakini wapi
 
background yake unaijua!!!????,,yasijekukuta yaliyonikuta coz story inaendana na yangu.
Namfahamu Kwa muda ingawa alinieleza Kuna kitu kilimpata alipoenda kijijini kwao aliamka siku moja akakuta amechanjwa chale basi mi nikachukulia rahisi maana hakuna gumu kwa yesu lkn namuona sasa matatizo yake hayaskii dawa wala maombi namuona sasa kama yeye ndo mzimu mwenyew typically....vp kilikupata kipi?
 
Hio hasara kwake tu au hata kwa wengine pili kabla ya kuwa nae alikuwaje.
Angalia isije ikawa wewe
Chanzo alichajwa chale ndo matatizo yalipoanzia alianza na kupata ndoto mbaya then mikosi lkn alizembea hiyo ilikuwa 2019/2020 lkn amekuja kufunguka mwaka huu
 
Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye, kikosa ajira yeye. Kila siku ananipa habari mbaya nahisi ana mikosi na najikuta Mimi ndo naumizwa na matatizo yake nimejaribu kumpeleka kwa watumishi wa Mungu apate huduma lkn wapi!

Nimeomba na kufunga lakini wapi
Oaneni, wacheni uzinzi na uasherati.
 
Hio hasara kwake tu au hata kwa wengine pili kabla ya kuwa nae alikuwaje.
Angalia isije ikawa wewe
Chanzo alichajwa chale ndo matatizo yalipoanzia alianza na kupata ndoto mbaya then mikosi lkn alizembea hiyo ilikuwa 2019/2020 lkn amekuja kufunguka mwaka huu j
We ni pisi?
We ni pisi?
Ni ke mwenye huruma na ninatamani matatizo yake yaishe before sijajitenga nae Ili nisije kumuacha akasema nimekimbia matatizo
 
Piga chini huyo.
 
Back
Top Bottom