Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye, kikosa ajira yeye. Kila siku ananipa habari mbaya nahisi ana mikosi na najikuta Mimi ndo naumizwa na matatizo yake nimejaribu kumpeleka kwa watumishi wa Mungu apate huduma lkn wapi!
Nimeomba na kufunga lakini wapi
Nimeomba na kufunga lakini wapi