Pole Eli!!Usilewe sana utaongeza mawazo!!Anza mchakato wa kutafuta basi...Hii imekua mbaya kwangu moyo ulisha dondokea hapo! itanibidi ni post yangu ili niwe na uhuru wa kuchagua. Ah ngoja nikapoteze mawazo pub MM kazana unaweza mpindua huyo Rev! Tatizo mijitu mingine inatanguliza maombi!!!!! :redfaces:Sorry rev:redfaces:
Hii imekua mbaya kwangu moyo ulisha dondokea hapo! itanibidi ni post yangu ili niwe na uhuru wa kuchagua. Ah ngoja nikapoteze mawazo pub MM kazana unaweza mpindua huyo Rev! Tatizo mijitu mingine inatanguliza maombi!!!!! :redfaces:Sorry rev:redfaces:
Elia nshamalizana nae hadi amenielewa, tatizo Mchungaji, amekomaa hadi kimeeleweka.
Pamoja na kukupendaga sana lakini imebidi nimheshimu mchungaji wangu, ingawa najua nawewe umemkubali kwa sababu ya protocol tu, chaguo la ukweli ni mimi.
habari yako bana!! nshakumisi mara hii!! duh!Lizzy umshafanikiwa kumpata mpenzi wa JF ? good lucky
Kabisa!We baki ukijua unapendwa!
Pole Eli!!Usilewe sana utaongeza mawazo!!Anza mchakato wa kutafuta basi...
MM Mimi nawaogopa wachungaji, halafu nasikia huyu anatoa mapepo asije yafukuzia kwetu. Hata Lizzy kamkubali sababu hiyo tu, hajampenda wala nini!
MM Mimi nawaogopa wachungaji, halafu nasikia huyu anatoa mapepo asije yafukuzia kwetu. Hata Lizzy kamkubali sababu hiyo tu, hajampenda wala nini!
Hahaha!Mbona mnataka kuniharibia sasa??Au ndo mnataka mchungaji aniache mfurahie kilio changu?
MM Mimi nawaogopa wachungaji, halafu nasikia huyu anatoa mapepo asije yafukuzia kwetu. Hata Lizzy kamkubali sababu hiyo tu, hajampenda wala nini!
ebwana kweli kabisa, mi nilikuwa sijastukia hii kitu,
kama ndo mpango wenyewe basi tena, wacha na mimi nikimbie,mapepo si ya kufanyia mzaha, akiyalengesha kwetu hata key boards tutakuwa hatuzioni, JF nzuri bana, dont dare to miss it.
Mchungaji mbona hata huniambii kama unanipenda?Au yote ni kutengeneza picha nzuri kwaajili ya kanisa?
Hahahahahahahah so funny!
Hahaha!Mbona mnataka kuniharibia sasa??Au ndo mnataka mchungaji aniache mfurahie kilio changu?
Sa unacheka nini! si nimesikia unafufua watu. Halafu huvai viatu! i dont want to die..!!!