Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Diddy hataki stress ndio mana haoi ngozi nyeusi sisi tumeumbwa kumiliki hata 10 kama chapaa ipo,istoshe jamaa kwahela yake akioa then akadivorce lazima atalipa pesa ndefu sana kwa mtalaka
Wamama wasiokuwa hao....wanakula ujana!

Yaan diddy angemuoa Cassie maskini au masharti huyu jamaa? Hivi kwanini haoi?[emoji15] [emoji72]
 
Diddy ni senior bachelor ataowa akizeeka,mtu angeweza kumuoa ilikua jlo
 
Diddy at 90 ndo anaoa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...

Willow kanawakoboa wadadaz!...kamebobea kinoma
 
Mmmh hata mi nashangaa[emoji15] [emoji15] ...hata kile kipindi cha RED TALK Sheree alikuwa guest wa Jada! Talk bout their past battles over Will[emoji23] [emoji23]

Nasikia zamani walikuwa na bifu la kufa mtu!...nahisi wameona waelewane coz Sheree ana mume so haina haja ya mnuno!
 
Diddy hataki stress ndio mana haoi ngozi nyeusi sisi tumeumbwa kumiliki hata 10 kama chapaa ipo,istoshe jamaa kwahela yake akioa then akadivorce lazima atalipa pesa ndefu sana kwa mtalaka
Unajua Tiger Woods ndo aliwafungua macho, maana yaliyompata na yule ex wife wake hana hamu, jamaa kapukutishwa kwenye ndoa yake hana kitu maskini!...zile hela za Diddy pia mama ake ni stakeholder wa Combs investments, so yule mama hatakagi mchezo na hela!
 
Woods alitafuta hela kwa jasho huku akikaza kiuno uwanjani,mke kaja kuchukua 50% kama zake
 
Lazima kichwa kipate moto,halafu hata kwenye tennis alijaribu kurudi ila stress zikamfanya asifanikishe
Si ndo hapo...halafu sababu ya kudivorce haina hata mashiko! Mswedish alikuja kuvuna asee!...jamaa siku hizi yuko under drugs and alcohol influence 24/7....kwa mtindo huu tumuache Diddy asioe!
 
Si ndo hapo...halafu sababu ya kudivorce haina hata mashiko! Mswedish alikuja kuvuna asee!...jamaa siku hizi yuko under drugs and alcohol influence 24/7....kwa mtindo huu tumuache Diddy asioe!
Though ile divorce ilimchanganya kiaina lkn Woods hayuko choka kihiivyo mkuu.

Kwenye Golf ranking ni wa 13 duniani,net worth anachezea kwny $740million.

Na ijumaa ya leo atacheza mechi na Phil Mickelson na mshindi atachukua $9mil.
 
Diddy at 90 ndo anaoa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...

Willow kanawakoboa wadadaz!...kamebobea kinoma

Heheh!, jamani at 90! 😀

Hatashindwa kupata mtu lakini, si unajua nguvu ya Pesa.
 
Heri yao lakini, hawana beef za kitoto..
 
Hivi Woods hakufanya Pre-nuptial agreement kabla ya kumchukua mazima yule Msweedish?!
Cos wenye hela ndefu vile wanaanzaga kuangalia Usalama wa pesa in case of anything.
Makubaliano kwanza muhimu, nani atapata nini kama ndoa inakufa..

Woods alitafuta hela kwa jasho huku akikaza kiuno uwanjani,mke kaja kuchukua 50% kama zake
 
Naona hakufanya hivyo mana mama alichukua nusu plus kila mwezi atoe matumizi ya familia,maisha ya diddy ni sawa kabisa anajua hilo kua zingemshusha kiuchumi.
Angalia russel simmmons nae mkewe alichukua nusu leo hii jamaa anaumwa ugonjwa wa moyo
Hivi Woods hakufanya Pre-nuptial agreement kabla ya kumchukua mazima yule Msweedish?!
Cos wenye hela ndefu vile wanaanzaga kuangalia Usalama wa pesa in case of anything.
Makubaliano kwanza muhimu, nani atapata nini kama ndoa inakufa..
 
Naona hakufanya hivyo mana mana akichukua nusu plus kila mwezi atoe matumizi ya familia,maisha ya diddy ni sawa kabisa anajua hilo kua zingemshusha kiuchumi.
Angalia russel simmmons nae mkewe alichukua nusu leo hii jamaa anaumwa ugonjwa wa moyo

Hivi Kimora nae aliondoka na nusu ya mali za Simmons?!, no wonder she's a Diva*2
Halafu ndo akaenda kuolewa na yule M West Africa..

Kwa ndoa za celebrities, pre-nuptials muhimu sana. Maana leo ipo, kesho haipo.
Naona hili la Wealth Settlement ndo linachelewesha pia divorce ya Brad Pitt na Angelina.
 
Aliondoka na mali na cash,ndio mana matajiri wenge wanaishi na watoto tu angalia hata trump
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…