Cha kushangaza sasa, wenzake wenye high profile in the industry kama Jigga, Will, wameoa na kutulizwa. Ingawa mshikeshike lakini hao na 'FULL' families zao.
Sa huyu jamaa labda haamini sana katika ndoa anaona kuwa na watoto tu poa.
Nakumbuka majuzi hapa wakati Will Smith anaongelea familia yake, aligusia kuhusu challenges walizopata na Jada kwenye ndoa, lakini akasema kutaka ku solve issues zao, of all options, divorce was not one of them. Hakutaka kabisa ndoa yake ivunjike.
Akasema ambavyo ameshakua divorced once, hakutaka kuwa divorced tena na kuanza moja. Sasa Diddy sijui hata ana wazo la ku settle..