Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Ana mtt mwingine tena kabla ya huyo
 
Diddy ana roho nzuri mnoo....watu wake wa karibu wanamsifia sana! Na itakuwa yuko humble sana....sema umalaya sasa! Yaan hapo kwenye kidudu chake ndo kuna tatizo[emoji23]
Diddy akikutaka utachomoa bila shaka
 
Apumzike kwa amani;kuna kitu cha kujifunza,mi nilifikiri angekuwa mkali kama wale video qn. P.diddy anaowatumia kwenye video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…