Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

na alikutana na Didy akiwa na 23, na mtoto wake wa kwanza Christian alimzaa akiwa na umri wa miaka 26 (Miaka mitatu badae) na akiwa na miaka 35, alipata watto mapacha wenye umri wa miaka 11 sasa

Haya mahesabu nimepiga mwenyewe baada ya details zke hapo juu
Ana mtt mwingine tena kabla ya huyo
 
Diddy ana roho nzuri mnoo....watu wake wa karibu wanamsifia sana! Na itakuwa yuko humble sana....sema umalaya sasa! Yaan hapo kwenye kidudu chake ndo kuna tatizo[emoji23]
Diddy akikutaka utachomoa bila shaka
 
Apumzike kwa amani;kuna kitu cha kujifunza,mi nilifikiri angekuwa mkali kama wale video qn. P.diddy anaowatumia kwenye video.
 
Back
Top Bottom