Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Sie type ya diddy tunacomment wapi?nauliza tu
Sasa kule kucheka cheka yuko high mda wote!.... Yule itakuwa stress, maana Diddy malaya kuoa haoi anatotolesha tu mmama wa watu anaona anajizeekea tu home! Watoto wanaishi na babaake yy anaishi alone daah!

Hivi hakuwa hata na house girl? Mbona eti wamekuta nyumba tupu, yy kafa tu kitandani?
 
P diddy wanasema hataki kuoa in case waki divorce inabidi mke alipwe hela nyingi na yeye ana hela. Ame date cassie muda wa miaka 10 bila ndoa. Kim nae Diddy alivyo date na j.lo ilikuwa vuta nikuvute. Ila juu ya yote ni baba bora na mwenye ukaribu mno na watoto wake. Baadae yeye na Kim ni watu walikuwa wanaelewana kwa sababu ya watoto wao
 
Nimekusoma best,kwahiyo watoto wa didy ni kingcombs na mapacha
Watoto wa Diddy ni Justin, Christian,Chance na wale matwins ( Jessie na D'Lila

Christian, na Chance kila mmoja ana mama ake, hawa watatu mama yao ndo Kim Porter( Justin or KingCombs, na mapacha)

Huyo Quincy ni wa Kim Porter babaake ni yule mbaba mwanamuziki anajiita Al B Sure!
 
Quincy baba yake enzi zake anakuwa hatari ila naona alishafulia kitambo,sasa hawa mashombe si wako wawili huyo mwingine wa nani
Watoto wa Diddy ni Justin, Christian,Chance na wale matwins ( Jessie na D'Lila

Christian, na Chance kila mmoja ana mama ake, hawa watatu mama yao ndo Kim Porter( Justin or KingCombs, na mapacha)

Huyo Quincy ni wa Kim Porter babaake ni yule mbaba mwanamuziki anajiita Al B Sure!
 
Duh family yake hasa wale watoto wake wa kike Mungu awe mfariji wao coz mama anayo nafasi ya pekee ktk malezi

Baba mwenyewe (Diddy)
yupo bize kumpiku Jayz ktk utajiri na maumivu ya Casie
 
Hapa lazma ntaskia vistory vya illuminati na Freemasons........ Ngoja nivute kiti kabisa........ By the way........ Nawaza hata matajiri mafua yanawachukua
 
Back
Top Bottom