Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

Aaah, kwanza kabisa usihalalishe kosa kwa kosa.

Then, kumsamehe ni lazima maana ulimwahidi kua akisema ukweli utafanya hivyo, so hakukua na haja ya kuomba siku nne kufikiri.
 
Hamekusaliti vipi wakati bado hujamuoa, ndoa ndio sehemu pekee kwenye kiapo cha kutosalitiana

Lakini kwenye mahusiano we msamehe tu maana yupo kwenye kipindi cha kuchagua yupi sahihi kwake inawezekana huyo jamaa ndio akaja kumuoa

Mapenzi usiyachukulie serious sana maana utaumia kila siku
 
Back
Top Bottom