Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante kwa ushauri wako wa mwishoni.Hamekusaliti vipi wakati bado hujamuoa, ndoa ndio sehemu pekee kwenye kiapo cha kutosalitiana
Lakini kwenye mahusiano we msamehe tu maana yupo kwenye kipindi cha kuchagua yupi sahihi kwake inawezekana huyo jamaa ndio akaja kumuoa
Mapenzi usiyachukulie serious sana maana utaumia kila siku
Umri wa huyu dada ni miaka 22, mimi 27 mi mwenyewe pia namsaliti mara kibao na nina wanawake wengine wawili na ashanifuma mara moja akanisamehe. Nimeongea haya ili niwape picha kamili ili mtoe ushauri kulingana na yeye na mimi pia.
asante kwa ushauri wako mkuumiaka 27 tayari unahangaika na wanawake!!! Msaada anaoutaka yeye achana nae huo ndomsada mpe
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Imekaa kisaikolojia zaidi. Wanahitaji kuachana kwanza kila mtu akamove on, kama watarudiana mbeleni kuna nafasi ya kudumu kuliko akimsamehe now.kwanini hafai kwa kuwa kakiri kosa,unaweza fafanua hapo