Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heka heka gani unanishauri nimpeKama kulia kwa demu kuna uhusiano na msamaha wako,,, hapo unajidanganya...
Huyo ataendelea kuliwa hadi milele..... Na kusamehe hilo moja ndio ticket yake...
Hata kama unamsamehe hakikisha umempa hekaheka... Only kama una future naye...
Sishauri UOE,, endelea kuchakata papuchi tu,,, zipo kwa ajili yetu...
Thank me later
Nguruwe ni kharamu, acha apigwe mkuki.
Mmmmh ani acha tyu[emoji1751][emoji847]Nguruwe ni kharamu, acha apigwe mkuki.
BTW umepaka jivu leo?
Au ratiba imekubana?😎😎
Noop, I wish but....mmmh sijui kwa kweli uvivu tu [emoji847][emoji847]Au ratiba imekubana?[emoji41][emoji41]
Okay!.Noop, I wish but....mmmh sijui kwa kweli uvivu tu [emoji847][emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Muache, move on. Kama itatokea huko mbeleni mkakutana mkaanza upya sawa. Ila sio umuache ukiwaza utamrudia baadae, muache kabisa na move on.ko tuachana afu turudiane badae
Kama jamaa kamla peku mara mbili hutoweza kuwatenganisha halafu wadada wa cku hizi ni ngumu sana kutulia na mwanaume mmoja hilo sahau cha msingi huwa tunaangalia kwamba demu akusikilize na kukuheshimu wewe kuliko wengine basiNipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.
Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30.
Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia ukweli lakini nikamwambia tuachane kama anataka turudiane aniambie ukweli,, ee bana ee akafunguka ni kweli alinisaliti na mmoja wa wafanyakazi wenzie sababu akanambia alipitiwa tu. Amelia sana nimsamehe hatorudia tena amekiri kosa na anahitaji msaada wangu. Nimempa siku nne nmefikirie namsamehe au laa!
Japo huyu dada siishi nae anakaa geto na mwenzie huyo wa kike, na kwa maelezo yake ametembea na huyo jamaa mala mbili tu,ile siku na kabla ya hapo.
Umri wa huyu dada ni miaka 22, mimi 27 mi mwenyewe pia namsaliti mara kibao na nina wanawake wengine wawili na ashanifuma mara moja akanisamehe. Nimeongea haya ili niwape picha kamili ili mtoe ushauri kulingana na yeye na mimi pia.
ASANTENI.
Huu ushauri ninaokupa Mimi Unaweza Ukauchukua Ukauacha Kama Moyo wako Umependa sanaNipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.
Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30.
Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia ukweli lakini nikamwambia tuachane kama anataka turudiane aniambie ukweli,, ee bana ee akafunguka ni kweli alinisaliti na mmoja wa wafanyakazi wenzie sababu akanambia alipitiwa tu. Amelia sana nimsamehe hatorudia tena amekiri kosa na anahitaji msaada wangu. Nimempa siku nne nmefikirie namsamehe au laa!
Japo huyu dada siishi nae anakaa geto na mwenzie huyo wa kike, na kwa maelezo yake ametembea na huyo jamaa mala mbili tu,ile siku na kabla ya hapo.
Umri wa huyu dada ni miaka 22, mimi 27 mi mwenyewe pia namsaliti mara kibao na nina wanawake wengine wawili na ashanifuma mara moja akanisamehe. Nimeongea haya ili niwape picha kamili ili mtoe ushauri kulingana na yeye na mimi pia.
ASANTENI.
nikimsamehe itakuwaje mkuuMwanamke akicheat hasamehewi, narudia tena hasamehewi, usirogwe ukamsamehe, UMEKWISHA.
kwamza hiyo kesi yako hao sio watu wa kuachana na hakuna ibilisi kwenye mara 2, kaishatafunwa ya kwanza so hiyo ya pili wakati wanaenda site anajua kabisa kifuatacho ITV.
take it from me.
dem ananisikiliza na kuniheshimu,vip apo niendelee nae?Kama jamaa kamla peku mara mbili hutoweza kuwatenganisha halafu wadada wa cku hizi ni ngumu sana kutulia na mwanaume mmoja hilo sahau cha msingi huwa tunaangalia kwamba demu akusikilize na kukuheshimu wewe kuliko wengine basi
asante kwa ushauri wako mkuu.Huu ushauri ninaokupa Mimi Unaweza Ukauchukua Ukauacha Kama Moyo wako Umependa sana
1. Mwanaume akishagundua Kasalitiwa Mapenzi hushuka kutoka [emoji817] mpka 0 kwa Mwanamke
2. Mwanamke Ambaye amekusaliti jua Kwamba hakuanza Kukusaliti hapo alianza zaisi ya Hapo sema Hukujua
3. Wasaliti hawaombi Msamaha kwa Kujutia Makosa yao ila Wanaomba Msamaha Kwa Sababu umemfuma kwahiyo atarudi kwa Mchepuko wake na Kumwambia Tubadili Gear tumekamatwa na Yule mshenzi
Ila Kma Wewe pia Ni Msaliti Basi Pokea Malipo Yako kutoka Kwake
Kikubwa Mwache.. Angalia Umri wako wewe ulivyo na Yeye hapo Ukijiharibia Umejiharibia Mazima maisha. Yeye Bado Damu inachemka Tafuta Mwanamke mwenye 25+ Huyo Bado Hajitambui