Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi waambukizane maradhi ya zinaa?!Mbona rahisi hiyo! Endeleeni tu jino kwa jino. Anayekamatwa anamwomba msamaha mwenzie, anasamehewa, maisha yanaendelea...
Ukimsamehe utakuwa fala ukimuacha tunammegaNipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.
Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30.
Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia ukweli lakini nikamwambia tuachane kama anataka turudiane aniambie ukweli,, ee bana ee akafunguka ni kweli alinisaliti na mmoja wa wafanyakazi wenzie sababu akanambia alipitiwa tu. Amelia sana nimsamehe hatorudia tena amekiri kosa na anahitaji msaada wangu. Nimempa siku nne nmefikirie namsamehe au laa!
Japo huyu dada siishi nae anakaa geto na mwenzie huyo wa kike, na kwa maelezo yake ametembea na huyo jamaa mala mbili tu,ile siku na kabla ya hapo.
Umri wa huyu dada ni miaka 22, mimi 27 mi mwenyewe pia namsaliti mara kibao na nina wanawake wengine wawili na ashanifuma mara moja akanisamehe. Nimeongea haya ili niwape picha kamili ili mtoe ushauri kulingana na yeye na mimi pia.
ASANTENI.
Mmmmmmhmn hivi kweli mtu ambaye alishawahi kuwa mpenzi wako mkishatofautiana halafu muachane then mrudiane utajiskia kawaida kuwa nae....?! Me siwezi.Imekaa kisaikolojia zaidi. Wanahitaji kuachana kwanza kila mtu akamove on, kama watarudiana mbeleni kuna nafasi ya kudumu kuliko akimsamehe now.
Kuna sehemu nilisoma ukicheka na malaya utalishwa mbegu. Atarudi utambusu kumbe katoka kubugia mimbegu.Mmmmmmhmn hivi kweli mtu ambaye alishawahi kuwa mpenzi wako mkishatofautiana halafu muachane then mrudiane utajiskia kawaida kuwa nae....?! Me siwezi.
Nawaza amekutana na madudu magangapi, wamemgeuzaje huko alipokuwa, ameshanyonyeshwa madudu mangapi. Wamemkojolea mara ngapi, katoa ujauzito mara ngapi.
Halafu nije niweke ndani seeeeeeeeee ptuuuuuuuuuuuh [emoji1785][emoji2961]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nakushauri kuwa umsamehe tu kwasababu umekiri wewe mwenyewe kuwa hata wewe si mwaminifu na ameshawahi kukufuma mara moja, Kumbe ni busara sana kumsamehe kwasababu hata yeye ni binadamu pia,na kwa ubinadamu huo anaweza kukosea.Msamaha ni tiba.Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.
Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30.
Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia ukweli lakini nikamwambia tuachane kama anataka turudiane aniambie ukweli,, ee bana ee akafunguka ni kweli alinisaliti na mmoja wa wafanyakazi wenzie sababu akanambia alipitiwa tu. Amelia sana nimsamehe hatorudia tena amekiri kosa na anahitaji msaada wangu. Nimempa siku nne nmefikirie namsamehe au laa!
Japo huyu dada siishi nae anakaa geto na mwenzie huyo wa kike, na kwa maelezo yake ametembea na huyo jamaa mala mbili tu,ile siku na kabla ya hapo.
Umri wa huyu dada ni miaka 22, mimi 27 mi mwenyewe pia namsaliti mara kibao na nina wanawake wengine wawili na ashanifuma mara moja akanisamehe. Nimeongea haya ili niwape picha kamili ili mtoe ushauri kulingana na yeye na mimi pia.
ASANTENI.
Sisi wanaume mara nyingi tukigundua tumesalitiwa huwa inatuuma sana ila kuwasaliti what warembo ni kitu cha kawaida yani kwenye akilizetu tumesha halalisha kuwa kwa upande wetu ni kitu cha kawaida any way .... ushauri wangu pima mizani kati ya mambo matano unayo yapend mwenzi wako awenayo je amefikia walau 3? Kama jibu ni ndiyo mwwkee mikakati mipya ikiwemo aachane na hiyo kazi ikiwezekana mtaftie mishe mingine then mpe tena mdaakili yangu kumkichwa imefikia kikomo kufikiri hilo swala ndo mana nikaja kuomba ushauri humu