Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze kukeep promises.... It mean alot...nilitaka nimpe tu pressure ili aniambie,bila kumwambia ivo unadhani angesema ukweli
Ujana maji ya motoNipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.
Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30.
Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia ukweli lakini nikamwambia tuachane kama anataka turudiane aniambie ukweli,, ee bana ee akafunguka ni kweli alinisaliti na mmoja wa wafanyakazi wenzie sababu akanambia alipitiwa tu. Amelia sana nimsamehe hatorudia tena amekiri kosa na anahitaji msaada wangu. Nimempa siku nne nmefikirie namsamehe au laa!
Japo huyu dada siishi nae anakaa geto na mwenzie huyo wa kike, na kwa maelezo yake ametembea na huyo jamaa mala mbili tu,ile siku na kabla ya hapo.
Umri wa huyu dada ni miaka 22, mimi 27 mi mwenyewe pia namsaliti mara kibao na nina wanawake wengine wawili na ashanifuma mara moja akanisamehe. Nimeongea haya ili niwape picha kamili ili mtoe ushauri kulingana na yeye na mimi pia.
ASANTENI.
Hahahah.... Kwa hiyo we ukila mademu wengi sawa, ila yeye akiliwa na machizi wengine nongwa?nijifunze kweny kusalitiwa ,ntajifunzia pengine sio kweny maumivu ya kutombewer
Kwani nae mtoa mada ni muaminifuKama huwezi kumuacha komaa nae tu ila toa malengo kwa uyo manzi atakuja kukupga na kitu kizito kichwani
Mlamba asali alambi mara moja, wataendelea ila kwa umakin mkubwa sananna malengo nae
umeukopi kwa mtu eeLabda nichangie kidogo.
Inategemea mna malengo gani.
1. Ikiwa ni urafiki wa kufurahishana na kukata mihemko ya ujana msamehe maisha yaendelee
2. Ikiwa mnapanga kuoana mnajitesa bure wote mmeharibu.
Ndoa na mapenzi ya dhati msingi wake ni uaminifu na ninyi wote 2 mmeutikisa huo msingi.
Mkilazimisha mtateseka bure.
Ikiwa jibu lako ni namba 1. Msamehe muendelee kila mmoja akisubiria mwenza sahihi.
Ikiwa jibu lako ni 2.
Msamehe lakini anza kujipanga kujionfoa taratibu kwenye kifungo hicho utafute mwingine.
Uchumba hausuluhishwagi mkuu ukilazimisha mnajimaliza
Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.
Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30.
Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia ukweli lakini nikamwambia tuachane kama anataka turudiane aniambie ukweli,, ee bana ee akafunguka ni kweli alinisaliti na mmoja wa wafanyakazi wenzie sababu akanambia alipitiwa tu. Amelia sana nimsamehe hatorudia tena amekiri kosa na anahitaji msaada wangu. Nimempa siku nne nmefikirie namsamehe au laa!
Japo huyu dada siishi nae anakaa geto na mwenzie huyo wa kike, na kwa maelezo yake ametembea na huyo jamaa mala mbili tu,ile siku na kabla ya hapo.
Umri wa huyu dada ni miaka 22, mimi 27 mi mwenyewe pia namsaliti mara kibao na nina wanawake wengine wawili na ashanifuma mara moja akanisamehe. Nimeongea haya ili niwape picha kamili ili mtoe ushauri kulingana na yeye na mimi pia.
ASANTENI.
Subiri matukio makubwa zaidi ya hilonikimsamehe itakuwaje mkuu

umenena hakikaIngawa mimi ni mwanamke na huenda nimewahi kucheat pia lakini nakupa ushauri bila kuzingatia jinsia wala historia yangu.
Ukiamua kubaki nae kumbukumbu za usaliti wake zitadumu muda mrefu kichwani mwako na mapenzi yenu hayawezi kurudi tena kama zamani.
Ukiamua kumuacha utapona haraka. Muache na kisha acha kabisa kuweka matarajio kwa mwanamke ukipata mpenzi mwingine.